Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 6,929
- 12,906
Nakuona upo imara usije kutoweka gafla😊😊I mean no malice to nobody
Nakuona upo imara usije kutoweka gafla😊😊I mean no malice to nobody
Kwema chiefMjep ndugu yangu ni kwema huko??, maana Ume kuwa ghost kidogo!!
Nawe ulale kama wapata wivuNawaonea wivu wote ambao mmelala sasa hivi
Nina kazi ya muhimu kulala labda saa 11 alfajiriNawe ulale kama wapata wivu
Nipe nikusaidieNina kazi ya muhimu kulala labda saa 11 alfajiri
Endelea kusubiri kinakuja kimechelewa kidogoNasubiri hicho kimbunga Hidaya sikioni hadi sasa. 02:22am
Au kama kawaida, hakiji tena?Endelea kusubiri kinakuja kimechelewa kidogo
Kinakuja vuta subiraAu kama kawaida, hakiji tena?
kuna kimbunga hidaya tena .🤣Nasubiri hicho kimbunga Hidaya sikioni hadi sasa. 02:22am