India yavutiwa na tekinolojia ya Israel katika kupambana na makombora ya masafa marefu

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
13,117
15,593
Uzuiaji wa makombora ya Iran 110 yaliyofanywa na Israel majuzi imeishtua dunia nzima. Hata hivyo kwa India tukio hili lina umuhimu wa kipekee kabisa kwa kuzingatia ushirikiano kati ya Israel na India katika teknolojia ya ulinzi na ya makombora ya kujihami.

Shauku ya India kuhusiana na tukio hili la Israel kuweza kuzuia makombora ya Iran inatokana na nia yake ya kutaka kuimarisha ulinzi wake dhidi ya makombora ya masafa marefu.

Alafu wenyewe Israel wameshaanza kuboresha(upgrading) mifumo Yao ya ulinzi hasa kwenye speed, detect na kuipa nguvu zaidi katika intercepting...
Hivisasa watalaamu wao wapo field wakibuni namna Bora zaidi kwenye kujilinda na makombora mazito kama hypersonic na kamikazes
 
Mataifa mengi yamevutiwa na huo uwezo wa Israel, yaani ile aibu waliyotia Iran imesababisha makombora yao yapate soko sana.
Shukrani Israel kutuheshimisha.
Ikumbukwe wao walijibu kwa kombora moja tu na likapiga haswa.
 
India wawe makini wasije wakaingia cha kike .maana tumeona ni wiki chache tu zimepita Muirani kamtoa kamasi muisraeli na hajajibu mpaka leo.
 
India wawe makini wasije wakaingia cha kike .maana tumeona ni wiki chache tu zimepita Muirani kamtoa kamasi muisraeli na hajajibu mpaka leo.
 
Sisi tutatue
Uzuiaji wa makombora ya Iran 110 yaliyofanywa na Israel majuzi imeishtua dunia nzima. Hata hivyo kwa India tukio hili lina umuhimu wa kipekee kabisa kwa kuzingatia ushirikiano kati ya Israel na India katika teknolojia ya ulinzi na ya makombora ya kujihami.

Shauku ya India kuhusiana na tukio hili la Israel kuweza kuzuia makombora ya Iran inatokana na nia yake ya kutaka kuimarisha ulinzi wake dhidi ya makombora ya masafa marefu.

Sisi tutatue kwanza tatizo la kishindwa kuhoji maana linaanzia kwenye ngazi ya familia
 
Back
Top Bottom