Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,447
- 13,134
Eti wakuu, ukitumia internet bila kununua kifurushi rate yake kwa wastani ikoje?
Mkuu weka Efu 1 kwenye simu then kubali matumizi ya data kutumia salio la kawaida kisha tumia internet, then tupe mrejeshoEti wakuu, ukitumia internet bila kununua kifurushi rate yake kwa wastani ikoje?
Mkuu weka Efu 1 kwenye simu then kubali matumizi ya data kutumia salio la kawaida kisha tumia internet, then tupe mrejesho
yani hyo buku nusu saa haitoboiMkuu weka Efu 1 kwenye simu then kubali matumizi ya data kutumia salio la kawaida kisha tumia internet, then tupe mrejesho
Itasoma ni mb ngapi zimetumika?Mkuu weka Efu 1 kwenye simu then kubali matumizi ya data kutumia salio la kawaida kisha tumia internet, then tupe mrejesho
Jaribu uone balaa lakeEti wakuu, ukitumia internet bila kununua kifurushi rate yake kwa wastani ikoje?
Nusu saa? Mbona kubwa hivyo? Hata dakika 10 hailambi!yani hyo buku nusu saa haitoboi