Hivi ni sawa mwanaume kumuomba mwanamke pesa?

Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili amsaidie kifedha

Hii imekaaje wadau.

Vijana wa kiume mmekuwaje?
Wanaume wa sasa wamekua ni omba omba mnooo, hadi kero kwa kweli, wajue kuwa hela za wanawake zina macho, hazitokagi hovyo hovyo
 
Kama boss wa nchi ni mwanamke na tunaviongozi kibao wanawake kwa nn uogope kumwambia kama una shida wakati wengine wana hela kuliko ukoo wako wote ...Haki sawa sasa hivi akiwa na maukoto anaombwa tu na hata hana akicheza kikoba siku ya kuvunja unashangaa anakuita baba Tembele nimepata laki saba kwenye kikoba unachukua laki nne anabaki na tatu
 
Niliwahi kuwa ktk mahusiano na mteule fulani alikuwa fair sana alikuwa anapenda kunitania mfano; we fulani uko wapi majibu nipo mgahawani unakula nini namwambia supu ya kuku basi anacheeka anasema huna huo ubavu basi nami namwambia njoo unywe nawe ananijibu nitakuonea bure tuma kijana aje hapa ofisini lakini asiwe mtumishi basi namtuma boda akirudi na misimbaz 7 niliinjoy sana na yule manzi hakuwa na Karaha ila sijawahi muomba hela mara nyingi yeye ndo alikuwa kila kitu aliiuwa ananiambia huo mshahara tunza familia yako na ulikwama niambie na ikawa hivyo nakumbuka dogo kaingia chuo kakosa boom nikawa sina kitu nikapewa 2.5 m nonrefundable yale maisha basi sema alikuwa mke wa mtu afu mdogoooo afu alikuwa mswiiti
 
Mpenda kamseleleko.... vijana tafuteni pesa
 
Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili amsaidie kifedha

Hii imekaaje wadau.

Vijana wa kiume mmekuwaje?
Wewe wa kike au wa kiume ?
 
Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili amsaidie kifedha

Hii imekaaje wadau.

Vijana wa kiume mmekuwaje?
Sio sawa kabisa ila ukimbato vzr anakupa mwenyewe bila kushurutishwa
 
Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili amsaidie kifedha

Hii imekaaje wadau.

Vijana wa kiume mmekuwaje?

Maisha hayanaga kanuni ya aina moja tu.

Loves gives.
Loves is about both giving and receiving.
Sio ujue kupokea tu lakini unapaswa kujifunza kutoa.

Love must be reciprocated
 
Back
Top Bottom