Hivi ivory tomato ilipotelea wapi?

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,771
54,061
Nakumbuka kipindi Cha nyuma kulikuwa na hii bidhaa ya ivory tomato.

Siku hizi haionekani kabisa?? je wakuu wali iondoa sokoni, au Kuna sehemu Hawa isambazi?!.

Hii ilikuwa nzuri zaidi ya Ile red gold, kuanzia ladha na hata muonekano.

Na hata tangazo lake Lili fanyiwa na marehemu king majuto.
 
Mzigo upo. Iringa na mikoa ya jirani.

Screenshot_20240506-132604.png
 
Nakumbuka kipindi Cha nyuma kulikuwa na hii bidhaa ya ivory tomato.

Siku hizi haionekani kabisa?? je wakuu wali iondoa sokoni, au Kuna sehemu Hawa isambazi?!.

Hii ilikuwa nzuri zaidi ya Ile red gold, kuanzia ladha na hata muonekano.

Na hata tangazo lake Lili fanyiwa na marehemu king majuto.
Zimeadimika kama haya makreti ya soda ya mbao
 
Attachments

  • images-13.jpeg
    images-13.jpeg
    10.2 KB · Views: 1
  • images-14.jpeg
    images-14.jpeg
    8.2 KB · Views: 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom