Hamas wafanikiwa kupigana nyuma ya mstari wa mbele wa IDF. Watumia droni kufanya upelelezi

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,454
11,427
Hili tukio kiuhalisia wa vita vikali vinavyoendelea ni dogo lakini tunalitaja kwa uzito kwa sababu linatokea kaskazini ya Gaza ambako kwa muda mrefu tumeelezwa kuwa eneo hilo liko kwenye mzingiro na kwamba Hamas wote wamefurushwa.

Msomaji anaweza akajiuliza kama ni hivyo Hamas wametokea wapi na wamepataje nguvu hizo na kwamba wanatafuta nini badala ya kujisalimisha?

Iksishindikana kupata jawabu hizo kwa njia nyepesi, lazima tukubali kuwa Hamas wanapigana kwa ushujaa wa hali ya juu ambao unaweza kuwa juu ya wapiganaji wa vietnam ambao hatimae waliwashinda Marekani na ni wazi kuwa hawataweza kumalizwa kuunga mkono wachambuzi wakubwa wa vita kutoka USA.

=====

Palestinians conduct 'elaborate ambushes', battling behind Israel from front lines in Gaza: Monitors

Palestinian fighters are continuing to do battle behind the Israeli military’s forward lines of advance in Gaza City, and are fighting to stop Israeli forces “clearing” the Daraj and Tuffah neighbourhoods of the city, war monitors said.

The US-based Institute for the Study of War and the Critical Threats Project said that Hamas fighters are surveilling Israeli forces using drones and that smaller Palestinian groups carried out an “elaborate ambush” on Israeli soldiers near the al-Shati refugee camp in northern Gaza.

Palestinian fighters also claimed to have shot down Israeli drones, the monitors said.

“The [Qassam] Brigades claimed that it seized an Israeli drone south of Zaytoun neighbourhood in the southern Gaza Strip on January 3.

The militia fired anti-tank rockets at Israeli armor in Sheikh Ijlin neighborhood, where Israeli forces have not reported on clearing operations since mid-November,” the monitors said.
 
Back
Top Bottom