Gazeti la Mwananchi lina ubia na Januari Makamba?

juma30

Senior Member
Jun 25, 2022
149
421
Tangu Waziri wa Nishati, Januari Makamba alivyoanza ziara yake ya mikoa 14 ya kugawa majiko ya gesi katika Mkoa wa Mara amekuwa akiandikwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanchi peke yake

Kama ziara hii ni ya kiserikali na ni ya kiongozi wa kitaifa kwanini magazeti mengine yakiwemo Nipashe, The Guardian, Daily News, Habari Leo, Uhuru, Mzalendo, Raia Mwema na mengineo hayazipi kipaumbele habari hizo kurasa za mbele?

Fuatilia tangu ameanza ziara yake utakubaliana na facts hizi.
 
Hili gazeti limekuwa hovyo sana.
 
"Kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza".

Tatizo viongozi wa serikali wakishakuwa corrupt, wasiwe na hofu ya kuadhibiwa na mamlaka yao ya uteuzi, hapo wanaamua kufanya matendo yao wazi bila hofu ya kuvunja sheria, basi wanatengeza kundi la wasiojielewa watakaowapa support.

Gazeti la Mwananchi ni mfano kwenye hili.
 
Tangu Waziri wa Nishati, Januari Makamba alivyoanza ziara yake ya mikoa 14 ya kugawa majiko ya gesi katika Mkoa wa Mara amekuwa akiandikwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanchi peke yake

Kama ziara hii ni ya kiserikali na ni ya kiongozi wa kitaifa kwanini magazeti mengine yakiwemo Nipashe, The Guardian, Daily News, Habari Leo, Uhuru, Mzalendo, Raia Mwema na mengineo hayazipi kipaumbele habari hizo kurasa za mbele?

Fuatilia tangu ameanza ziara yake utakubaliana na facts hizi.
Ukiona hivyo jua wamelamba asali tayari
 
Kwani kuna shida au wewe unateseka akiandikwa ukurasa wa mbele? Ulitaka aandikwe nani?
 
Tangu Waziri wa Nishati, Januari Makamba alivyoanza ziara yake ya mikoa 14 ya kugawa majiko ya gesi katika Mkoa wa Mara amekuwa akiandikwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanchi peke yake

Kama ziara hii ni ya kiserikali na ni ya kiongozi wa kitaifa kwanini magazeti mengine yakiwemo Nipashe, The Guardian, Daily News, Habari Leo, Uhuru, Mzalendo, Raia Mwema na mengineo hayazipi kipaumbele habari hizo kurasa za mbele?

Fuatilia tangu ameanza ziara yake utakubaliana na facts hizi.
Mhe. Makamba alichagua waandishi wa habari kutoka media chache kubwa ameambatana nao. Kwa mfano kws upande wa ITV yupo Benjamin Mzinga, kila siku lazima taarifa ya ziara yake ipewe airtime.
Kiujumla Mhe. Makamba amejipanga.
 
Tangu Waziri wa Nishati, Januari Makamba alivyoanza ziara yake ya mikoa 14 ya kugawa majiko ya gesi katika Mkoa wa Mara amekuwa akiandikwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanchi peke yake

Kama ziara hii ni ya kiserikali na ni ya kiongozi wa kitaifa kwanini magazeti mengine yakiwemo Nipashe, The Guardian, Daily News, Habari Leo, Uhuru, Mzalendo, Raia Mwema na mengineo hayazipi kipaumbele habari hizo kurasa za mbele?

Fuatilia tangu ameanza ziara yake utakubaliana na facts hizi.
Kwa kua Mimi sio mnafiki, sio mfuata upepo, sio wakujikomba, leo ngoja nimtetee uyu kijana wa watu,
1. Kweli kabisa WENDA Sio KILA kitu anafanya kiko sawa ,maana pia yeye ni binadam,ila pia lazima kutuliza kichwa chambua ushauri wa wadau, maana mwingine ushauri upo na nia njema kwake Kama waziri na KWa taifa kiujumla.
2.Acheni msakama mtoto wa watu Yani Sasa jina lake imekua wimbo hapa jf, toa kero ndio ila pia shauri kipi kifanyike,
3. Mtazamo wa kiroho Sana inaniambia pamoja na mapungufu aliyonayo Kama binadam, ila nyuma yake ipo nguvu ya kuvunja utu wake ,kisa wengine wakifikila swala la Urais, au uwaziri mkuu, that is a fact.
5. Wenda ikawa hivyo lakin lini ametamka?
6. CCM 2025 haikai madarakani labda tu KWa kura Halali na sio vinginevyo ,ujumbe wa Mungu ukawafikie wanaccm popote mlipo, vinginevyo mtakumbuka maneno haya,
Mwisho
Mshaurin Uyu waziri bila Tashwishwi, au zihaka ,mtendeeni haki, and then naye akubali jishusha na kuchukua hoja zenye tija,sio shupaza shingo
 
Watu wanangalia maslahi sahv

Nyie mngepewa maslahi mngekatana

Ova
 
Tangu Waziri wa Nishati, Januari Makamba alivyoanza ziara yake ya mikoa 14 ya kugawa majiko ya gesi katika Mkoa wa Mara amekuwa akiandikwa ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanchi peke yake

Kama ziara hii ni ya kiserikali na ni ya kiongozi wa kitaifa kwanini magazeti mengine yakiwemo Nipashe, The Guardian, Daily News, Habari Leo, Uhuru, Mzalendo, Raia Mwema na mengineo hayazipi kipaumbele habari hizo kurasa za mbele?

Fuatilia tangu ameanza ziara yake utakubaliana na facts hizi.
ITV pia naona JM anaambatana na mtangazaji wao na kila habari ya saa 2 usiku lazima arushwe.
 
Back
Top Bottom