Contacts zimefutika kwenye Google account

Download BACKUP & RESTORE ALL au RECOVER & BACK UP nenda setting ingia Samsung account nenda Samsung cloud back up data ingia contacts select nenda done hatimaye zitarudi number zako halafu ukifanikiwa nitumie shs. 100,000/= 😃😃😃😃😃😃
Ushukuriwe mkuu na mimi imenisaidia nilikua naona majina 2 tu baada ya ku backup nimepata 154.
 
Back
Top Bottom