Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,413
- 1,739
Ongera TutayajengaBado nipo jijini mkuu, sasa hivi nimekuwa fundi ujenzi! Kama kuna saiti nipe nikujengee
Ukihama niachie room yako,huku kwetu hali si hali.Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa?
Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage!
Nataka nihame hapa Buguruni maana tangia nimehamia hapa ni kama nimepunguza kasi ya kupambana!
View attachment 2982368
Kinachofanya Serena iwe ghali siyo ubora wa vyakula per se. Hata bia kama Safari pale inaweza kuuzwa bei kubwa mara nne au zaidi ya inavyouzwa kwenye bar ya mataptap Kawe. Umenikumbusha mzee mmoja aliambiwa bei ya sahani ya wali kwenye hotel ya nyota tano akawa anasema ''si bora nikanunue gunia la mchele''.Mwaka jana nimekunywa juice mbovu kabisa Serena hotel kwa shilling 10,000/= wakati mtaani kuna juice bora kabisa glasi jero tu.
Ahahahah... sina jibu la 1 kwa 1 maana am talking about 2011/2013 hukooKwahiyo kaka unanishauri nihamie tandika?🤸
Nimekutania tu! Mimi nakaa kwetu hadi uzeeAhahahah... sina jibu la 1 kwa 1 maana am talking about 2011/2013 hukoo
Sasa kiziwi ataskiaje utamu wakat maskio hayafany kaziMwamba unataka kujaribu kila kilema😂😂😂😂😂😂😂.
Kiziwi je??
Alafu pembeni ni kimboka