Ali Kamwe: Simba tutawafuata na bakora waje kujifunza Kwa yanga

Rais wa klabu ya @yangasc Injinia @caamil_88 ametoa elimu kwa uongozi wa klabu ya @tpmazembeofficiel ambao wamefika makao makuu ya klabu hiyo hapo jana wakitaka kufahamu ni namna gani klabu ya Yanga imeweza kubadirisha mfumo wake wa kiundeshaji na kuweza kutawala soka la ndani na nje kwa muda mfupi sana.

Uongozi huo wa klabu ya @tpmazembeofficiel uliongozwa na C.E.O wa klabu hiyo,pamoja na mafunzo hayo klabu ya Yanga imeingia makubaliano kiurafiki na klabu ya Tp Mazembe kuweza kushirikiana kwenye mambo mbalimbali

Ali Kamwe "Kuna watu tutawafata kwa bakora waje kujifunza hapa"

View attachment 2990571
utoto raha
 
Back
Top Bottom