uchizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TODAYS

    Mwalimu afanywa chizi kisa na mkasa ni huu!

    Ubhukile msani wa JF. Kwa kifupi; Nilikuwa napita maeneo fulani hapa Lushoto nikamuona dada flani akipita na kuimba huku akikata kiuno ndipo nikakumbuka stori hii hapa chini. Ilikuwa tarehe za mwishoni mwa mwaka nikitokea Dar to Iringa nikapata usafiri wa IT iliyokuwa inaenda Zambia, tulifika...
  2. MIXOLOGIST

    Ukitafakari sana vitu vingi tunavyofanya hapa duniani ni uchizi mtupu

    Wana zengwe Kuna wakati najiuliza maswali sipati majibu sahihi, mfano ukikaa sehemu ya juu(ghorofani) au ukiwa na video camera say yenye njia 16 alafu ukawa unawaangalia watu, yaani matendo yao, movements zao na harakati zao sehemu kubwa unaweza ukaona mambo mengi yanayofanyika ni ya kichizi...
  3. Suley2019

    Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Salaam, Leo Februari 29, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya pili wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi. Soma: Rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia Kunako Utawala wake Hayati Mwinyi alifanya mambo mengi...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Badala ya kubariki watoto na kizazi chako unabariki Israel usiyoijua wala isiyokujua; Acheni uchizi

    BADALA YA KUBARIKI WATOTO NA KIZAZI CHAKO UNABARIKI ISRAEL USIYOIJUA WALA ISIYOKUJUA; ACHENI UCHIZI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Yesu kama Watibeli wengine alishawahi kuwatolea maneno mbaya mbovu Wafuasi wake akiwaambia; Lk 23:28 Yesu akawageukia, akasema, Enyi binti za Yerusalemu...
  5. N

    Mpaka leo kuna watu hawamiliki magari? Huo si uchizi?

    Yaani inakera hivi kweli mtu mpaka leo Hamiliki magari au Gari? Kwa miaka hii magari yalivyo bei rahisi yaani milioni mbili tu mtu unapata ndinga kali? Halafu la kinyama kinoma yaani kutomili Gari miaka hii huo ni ukora na uchizi kupitiliza. Yaani mimi sihangaiki kupiga stories na mtu ambaye...
  6. M

    Mapenzi ya mwanasiasa kijana yalivyompa uchizi mwanaharakati wa Twitter

    Hakuna anaemtumia huyu dada Maria zaidi ya Maria na tabia zake na ushangingi wake mwenyewe na tumbo lake. Maria alikuwa hawara kwa mwanasiasa fulani akahaidiwa ndoa halafu dakika ya mwisho akatoswa na kuolewa Mwanamke mwingine. Kichaa kilianza hapo. Wazee wa Slip way mnakumbuka enzi zile...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Mbunge wa Mbogwe aliyedaiwa kuugua uchizi awaomba BAKWATA kumuombea dua

    "Vipo vyombo vimeibuka na kusema mimi Nicodemus Maganga ni kichaa, niliugua wiki chache zilizopita, ni kawaida kuugua , suala hili liliibuka na kwenye kipindi cha uchaguzi. Hivyo niwaombe ndugu zangu viongozi wa BAKWATA Mbogwe mniombee dua" Nicodemus Maganga, Mbunge wa Mbogwe...
  8. Idugunde

    Mbunge wa Mbogwe aliyedaiwa kuugua uchizi yu mzima wa afya

    Kwa mujibu wa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Mbongwe, Mobahe George amesema kuwa, mbunge wa jimbo hilo Nicodemas Maganga ni mzima na yupo mapumziko kwa sasa ndio maana hapatikani hewani na kwamba taarifa zilizoandikwa na gazeti la Jamvi la Habari ni za kupuuzwa hazina ukweli wowote...
  9. Dr Matola PhD

    Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga (CCM) augua uchizi

    Hii ni wake up call sasa kwa spika wao atake asitake ni lazima apimwe afya yake ya akili kama anastahili kuendelea kushika nafasi hiyo. Mkidharau ndio madhara mnakuwa na mtu ikulu chizi, bungeni mkuu wao chizi, sasa mnakuwa na Taifa la namna gani? Huu ni ushahidi wa machizi wengi bungeni ambao...
  10. sky soldier

    Kileleni kuna uchizi, una tabia ipi unapofika kileleni

    Sex ni moja kati ya starehe ambayo inafanya baadhi ya watu kuwa na hisia kali sana mpaka kufikia kushindwa kuweza kujihimili na kufanya vitu vya kushangaza, bila kujali cheo, umri, jinsia, n.k 1. Kuna kulia machozi pale mambo yanapokolea 2.Kuna kuanza kupiga kelele kwa lugha zao za makabila...
  11. Kiboko ya Jiwe

    Dalili za uchizi

    Tunaposema fulani ni chizi au mwendawazimu tunamaanisha kuwa hatumii ipasavyo akili zake. Kila mtu ana akili isipokuwa maiti ila utofauti unakuja kwenye matumizi ya akili. Zifuatazo ni dalili za uchizi; 1. Kukataa mimba huku unajua ni yako. 2. Kujenga mbali na kazini kwako huku unajua kabisa...
Back
Top Bottom