Tatizo lenu baadhi yenu mkanichukulia poa sana hapa JamiiForums ila baadae huwa mnakuja Kunipigia Salute.
Hapa hapa JamiiForums mwaka Jana ( 2023 ) nilisema kuwa Mwamuzi ( Referee ) Ramadhan Kayoko ni 100%. Mwananchi.
GENTAMYCINE nakumbuka nilienda mbali zaidi na Kuwatahadharisheni mapema tu...
Wakuu habari za asubuhi?
Nafika kazini asubuhi hii, namsalimu jirani yangu ananiambia Tuntufye.
Namuuliza hao si wanyakyusa, anasema majina yote ya wanyakyusa yana maana
Tuntufye ni - tumsifu😀
Gwamaka- mwenye nguvu
Embu wanyakyusa tupeni maana ya majina yenu?
Kulikuwa na mtu huyu, wakati wa kusoma chuo cha ufundi, alikua ni mtu ambaye tulikuwa darasa moja pindi tupo chuo, alikuwa ni mkimya sana na hajawahi kuchangia chochote wala kuzungumza na mtu yeyote darasani.
Alikuwa Hana makundi, alikuwa hana ushirikiano, alikuwa hana marafiki. Hakuna mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.