nimegundua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komeo Lachuma

    Nimegundua mimi si binadamu wa kawaida. Tena si Mtanzania Halisi.

    Yaani sina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Ukifanya vizuri hata kama juzi tumetukanana nitakusifia kuwa hapo umefanya vizuri. Ukikosea hata kama asubuhi nimeamka na wewe na ni mrembo sana nitakuambia ukikasirika shauri yako mi nimeshakuambia. Hata kama ni jamaa,mshkaji,ndugu au rafiki wa...
  2. Komeo Lachuma

    Jana ndo nimegundua tatizo lililompata jamaa yangu. Ndo tunampoteza hivi hivi. Inasikitisha sana kwa kweli

    Huyu jamaa zamani alikuwa serious mtu kazi. Mnapeana kazi kila mtu anamaliza kwa wakati mnafanya majumuisho mnasonga mbele. Hapa katikati amebadilika sana.mnaweza peana majukumu nyie mkamaliza yeye mkakuta anasua sua na kuwakwamisha sometimes. Ukimpigia anasema yupo busy sana mara sijui nini...
  3. JF Member

    Nimegundua Bashe hajui maana ya Food Security

    Naamini anajua kiiengeleza sasa namuwekea hapa maana yake. Food security is the measure of the availability of food and individuals' ability to access it. According to the United Nations' Committee on World Food Security, food security is defined as meaning that all people, at all times, have...
  4. Jorge WIP

    Kakoswa koswa kugongwa na gari akamtukana dereva, hajafika hatua mbili akagongwa na bajaji (Karma is real)

    Leo kuna machinga kapata ajali maeneo flan akiwa anavuka, japo makosa nilihisi ni ya kwake mwenda kwa miguu Kwanza alikoswa kugongwa na gari, maaana mwenye gari alijaribu kumpisha japo gari lilikuwa speed kidogo.. sasa jamaa kabla ya kuvuka barabara akawa anamtukana mwenye gari na kumuonyeshea...
  5. N

    Na mimi nimegundua upenyo wa tozo kwenye vibao vya mitaa/makazi

    Mapendekezo yangu; 1. Yule mtu (binafsi) ambaye jina lake limebahatika kuchukua jina la mtaa, alipe 50,000/= kama ni kiongozi (DED, DC, RC n.k), kama ni mtumishi wa kawaida wa umma alipe 20,000/= na kama NI mwananchi wa kawaida alipe 10,000/=. Jina lako kutumika na serikali ni heshima...
  6. SweetMillah

    SoC02 Nimesoma shule za kawaida nikiwa sisikii vizuri. Changamoto zilizopo ni uhaba na ukosefu wa mafunzo ya lugha za alama

    Ulemavu ni Hali ya upungufu wa kazi katika kiungo kimoja wapo katika mwili wa mwanadam au mnyama kiungo hicho chaweza kuwa mkono, mguu macho nk kupelekea uhitaji wa vifaa maalumu ili kujishirikisha katika shughuli za kijamii na kiuchumi. Binafsi nimezaliwa nikiwa na uwezo wa kusikia na...
  7. F

    Nimetembelea shule inayoitwa 'Indian School Dar es Salaam'. Nimegundua wahindi wametuzidi akili sana

    Habari wadau. Leo nimetembelea shule ya msingi na sekondari inayoitwa Indian School iliyopo kurasini Dsm. Dhumuni la kutembelea ilikuwa kujua utaratibu wao; mtaala gani wanafundisha na gharama za ada kama nikitaka mwanangu aende akasome hapo. Baada ya kufika nilipokelewa na wahindi tupu...
  8. D

    Niko nasikiliza nyimbo zao bora zilizowatambulisha nimegundua kuna tofauti kubwa mno; Sijui kiliwakumba nini vichwani hawa waimbaji siyo bure

    Niko hapa nasikiliza nyimbo mbalimbali za kidunia na kidini! Aisee nyimbo kama za Twenty percent ukisikiliza una feel kabisa ubunifu waziwazi, pia nyimbo kama za prof. J, Wagosi wa kaya, Mwinjuma muumini na wasanij wengine wengi unaona kabisa kuna kitu kilifanyika! (Wasanii na maproducer)...
  9. shampondo shila

    Kwa ukatili nilioufanya kwa huyu paka, naomba tu Mungu unisamehe

    Nikiwa zangu nimetulia na familia yangu chini ya mti hapa nyumbani akaja paka na mwanae wakakaa pembeni yetu kama kawaida kwa paka wanaoishi vizuri na binadamu hawaogopi hata wanaweza kukuchezea kama kuku tupia mguu hivi Basi bhana yule paka mdogo sijui ni shetani gani alimuingia ghafla...
  10. H

    Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Wadada usithubutu kukutana na mwanaume ambaye mmeanza Naye mahusiano , at least chukua muda wa miezi zaidi ya mitatu au minne umsome kwanza kama Yuko serious au mpitaji Yaani nimegundua ukiachana na mwanaume ambae hukuwah kukutana Naye kimwili, hutapata maumivu kama ambavyo uachane na mwanaume...
  11. Kifaru86

    Nimegundua mwanamke ambaye nina mpango wa kumuoa hatutawezana

    Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engagement basi sasa hivi kaninunia na kunikasirikia Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha sasa hivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engagement japo nilijaribu...
  12. M

    Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

    Nina miaka 34 sasa nikiwa mama wa watoto 3, hakika sina budi kukubali kuwa mapenzi hayanitaki tena hayanipendi kabisaa, japo niliyapenda na kuyapa thamani katika maisha ila nimeangua sina budi kuyaacha rasmi kuanzia leo. Historia yangu kwa ufupi, Mpenzi wa kwanza. Huyu alinionesha mapenzi...
  13. mangosongoo

    Wanaume wengi wana matatizo ya akili

    Nimegundua watu wengi Wana matatizo ya akili, hasa wanaume na hawakubaliani na hiyo Hali. Mwisho wa siku inakuja kuleta madhara makubwa. Ushauri wangu nendeni mkajitibu hayo matatizo msije kuua watoto wa watu..
  14. Kifaru86

    Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

    Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe . Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa...
  15. M

    Nimegundua Jambo........

    Kama huna Hela...... 1. Usiwe na Wivu na Mkeo au Mpenzi wako 2. Usimhojihoji sana Mkeo au Mpenzi wako 3. Kuwa Mpole na Mnyenyekevu mno kwa Mkeo au Mpenzi wako 4. Usisumbuke Kuthubutu Kukagua Simu yake ( Mkeo au Mpenzi wako ) kwani utakayokutana nayo huko ya Urusi na Ukraine yana afadhali...
  16. M

    Nimegundua akaunti za wadada ndio zina fedha nyingi hapa ofisini

    Watanzania wengi hawana utamaduni wa kutunza pesa, Wazungu wanaita saving, imefika wakati Yani mtu akisimama kazi ndani ya wiki mbili anaanza kuomba msaada wakati amefanya kazi kwa muda mrefu sana. Ni vema kila unapopata mshahara basi angalau asilimia 30 kafiche mahali, watumishi wa umma Wana...
  17. Mtu Asiyejulikana

    Katika hili Sakata nimegundua Hiphop kwa wa Tanzania siyo Uhalisia, haina issue na pia Waimbaji ni wanafiki

    Zamani nlikuwa namwona Fiq Q ni mmoja ya wasanii wanaojielewa....nlidhani kichwani ana akili. Fid Q kama upo humu. Kwa kweli nlikuwa namkubali sana.. Ila hili sakata la Steve Nyenyere limenishtua ni kunifanya nigundue kumbe hamna kitu kichwani. Yaani kwa Mistari ya Fid Q ilivyo ya kigumu ya...
  18. GENTAMYCINE

    Yawezekana kama Mwanadamu Idi Amin alikuwa na Mapungufu yake ila nimegundua Afrika ya leo iliwahitaji akina Amin wengi ili kupiga hatua

    Marehemu Idi Amin Dada.... 1. Alichukia Upuuzi (Upumbavu) 2. Alichukia Uonevu na Dharau 3. Aliwapenda sana Wananchi wake 4. Hakuwa Mnafiki na wa Kujipendekeza 5. Hakuwa Muoga kuipigania nchi yake 6. Hakuwa Fisadi (Mwizi) hata kidogo 7. Alikuwa Mbabe ili Kulinda nchi yake Sasa wakati...
  19. KENZY

    Nimegundua wanawake wanapenda mwanaume wa namna gani!

    It's simple wanawake wanapenda mwanamme mpole na mwenye vurugu. Nimemaliza.
  20. VinJoe

    Kwa Experience yangu ya muda mfupi kwenye "Betting" nimegundua mambo machache

    Jambo la kwanza na kubwa kabisa betting is addictive very addictive hutaamini itakavyo kukamata na kuingia kwenye mishipa ya damu yaani kuna wakati kukaa bila kua na ka mkeka unakokasubiria ka tick ✅ basi unahisi kama kuna kitu hakiko sawa hivi. Jambo lingine ni kwamba utakua na matumizi yasio...
Back
Top Bottom