Habari ya wakati huu.
Nilikua nahitaji kumuombea kijana mmoja kozi za afya ngazi ya diploma baada ya kupata taarifa jana kua mfumo umefunguliwa ila kila nikitembelea ukurasa wao Nacte naona tu tangazo la kuhusu udahili ila sioni mahala pa kuomba hizo kozi. Kwa aliyefanikisha naomba anijuze...
Habari zenu ndg zangu,
Ndugu zangu naomba ufafanuzi au ufahamu na ufafanuzi juu ya hali anayopitia mdogo wangu, mdogo wangu kafuata TRANSCRIPT yake ofisi za NACTE DAR tarehe 29/05/2024 akajibiwa arudi baada ya may-mosi yaani tarehe 02/05/2024 na akarudi tarehe hzo lakini alijibiwa MTANDAO UPO...
Habari zenu ndg Watanzania na wasio Watanzania tulioko humu ndani?
Ndugu zangu awali ya yote poleni na majukumu zaidi shukurani kwa MUUMBA.
Ndungu zangu nipo mbele zenu kwa ombi moja la kuomba ufafanuzi, ushauri juu ya hali anayopitia mdogo wangu hapo ofsi za NACTE Dar, mdogo wangu huyu ni...
Wakuu habari ya muda..mdogo wangu amehitimu ualimu miaka minne nyuma sasa punde baada ya kuhitimu huwa wanapewa mapema ACADEMIC CERTIFICATES kuliko vyeti vingine..kwa hiyo alifanikiwa kuipata mapema tuu sasa Kimbembe ikawa kupata TRANSCRIPT.
Pesa ilishalipwa katika control number husika na sms...
Nimeona barua inasambaa Mtandaoni ikisema NECTA inaratibu zoezi la Kurekebisha Makosa ya majina kwenye vyeti vya Mwaka 2000-2023 kwa Malipo.
Barua hii inanipa mashaka sana, JamiiCheck nisaidieni kuhakiki.
Habari.
Nlikuwa naomba Msaada wa kufahamisha kuhusu ishu ya kupata AVN?
Pia nlikuwa naomba kufahamu Nacte huwa wanatumia muda gani ku confirm matokeo maana yangu yashakuwa submitted
kwa yeyote anaye weza saidia kufikisha ujumbe huu
==
Taarifa kwa Serikali na Sekta za Elimu Tanzania
Nikiwa kama mhanga na mdau wa elimu, napenda kueleza mambo machache juu ya mwenendo mzima wa Chuo cha Katavi Institute and Development Studies (KISDES) kilichopo Mpanda, Katavi, kata ya...
Habari zenu ndugu zangu wa JF
Hii ni mara yangu ya kwanza kushiriki na swali ni kama linavyojieleza hapo Niliwahi soma clinical medicine mpk Level 5 semester 1 changamoto za ada ikanilazimu nisimame nihangaike na mishe zingine nashkuru Mungu nimejipata kiasi
Sasa juzi wakati nacheki student...
Vyuo hivyo vya kati vinafunguliwa 9/10/2023. matokeo ya mitihani bado...yaani mwanafunzi aende chuoni halafu arudi nyumbani in case he/she is discontinued
Mzazi unajiandaa lini na ada?
Rutayugwa take note of this
Nadhani mmeshawishiwa na wadau wa shule nyingi za sekondari ambazo hazina soko hasa kipindi hiki cha utahili wa watoto wanaotarajia kuanza form 1. Wazazi wengi tumekuwa tukiingia kwenye website ya Necta kuangalia ubora wa shule hasa matokeo ya form 4 ndipo tuamue kuchukuwa form.
Acheni hizo...
jamani nimepotea njia. Najaribu kuomba vyuo vya afya NACTE. Sioni vyuo vya afya vya serikali, say Lugalo, Kibaha etc. Kuna nini? Utaratibu kwa sasa ukoje?
Form 4 & 6nimemaliza mwaka 2015 &18 respectively umri ni 26.
Hawa jamaa wamekosa vigezo vyote vya kunizuia wakatafuta hata ambavyo havipo kwenye vigezo vyao wenyewe.
Hii sababu haikuwepo na haipo kwenye guidebook ya mwaka huu
Nawashitaki
Is there any lawyer for hire out there?
Salaam,
Wanabord ninaomba kufahamishwa kwa yeyote inaefahamu anisaidie kunifshamisha.
Nacte wamefungua dirisha la udahili kwa vyuo vya afya ambapo deadline ni mwisho wa mwezi huu.
Kwa kosa nililofanya la kupata control number ya 10,000 nitalazimika kuomba chuo kimoja tu hivyo nitakua na risk...
Mwenye kujua vyuo vya NACTE vitamaliza muhula wa pili mwezi gani ie semester 2 inafungwa lini?
Zamani kulikuwa na ratiba ya masomo, sasa ni vurugu tupu!
Kwa wale tulio soma diploma miaka miwili yani non NTA levels, na kupata cheti kimoja.
Je, tunaweza kupata msaada NACTE tukarudisha kile cheti tukapewa vyeti viwili kwamaana ya kila mwaka uwe na cheti chake, means tupate cha NTA level 5 na NTA level 6 badala ya cheti kimoja kinachojumuisha...
Naomba msaada wa uelewa kwa wale wanafunzi walio hitimu vyuo vya kati ngazi za diploma na wakawa wamepata vyeti katika mfumo wa NON NTA.
Kwa maana nyingine walio soma certificate mwaka mmoja na kupata cheti kisha wakasoma diploma miaka miwili na wakapata cheti pia kimoja.
Je, watu hawa...
Sitafuni maneno, chuo kama cha MATI Mtwara, ni kambi ya kupata manamba wa kufanya kazi kwenye Mikorosho, ufuta, alizeti, mpunga (kidogo), mahindi,mboga mboga za aina zote unazoweza kuzifikiria etc etc ya the so called chuo na vyuo vingine vya hivyo. .
Hakuna watoto wanachosoma cha kuwasaidia...
Clinical officer waliomaliza Desember 2022 tumekuwa tukiomba transcript zetu tangu tarehe 10 January 2023 ila Cha ajabu mpk Leo . Transcript request status inasema RECEIVED
NACTE fanyieni Kazi maombi yetu tunahitaji hizo transcript kunafursa tunatak kuzikimbilia ambazo zinahitaji kuambatanisha...
Habarini wana jamvi, natumaini mu wazima.
Msaada tafadhali.
Ningependa kujua kwa nini status za wanafunzi kwenye website ya NACTE imetofautiana.
Kuna walioandikiwa submitted na wengine confirmed. Ipi tofauti yao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.