Habari za hapa Jukwaani.
Kuna Muuzaji wa Mirungi maarufu pale Usangi wilaya ya Mwanga eneo la Ndanda maarufu kama Kijiweni.
Kuna Jamaa mmoja ikifika mida ya Jioni Pikipiki zinajaa pale Kijiweni kununua Mirungi na Bhangi.
Huyu Jamaa anahusika sana kuharibu sana Vijana pamoja kuongezeka Matukio...
Jeshi la Polisi Mkoani Manyara linamshikilia Askari wa Usalama Barabarani kutoka Mkoani Arusha SGT Ismael Katenya (48) anayeonekana pichani, kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi mabunda 340 yenye uzito wa kilo 140 iliyokua ameiweka ndani ya mabegi.
Taarifa ya Polisi Manyara...
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro, limefanikiwa kukamata shehena ya dawa za kulenya aina ya mirungi ndani ya basi la Extra Luxuly lenye namba za usajili T643 DVL ikisafrishwa kutoka mkoani Arusha kwenda jijini Dar es salaam.
Habari kutoka ofisi ya kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro...
Jeshi la polisi limekamata kg 150 zikiwa zimepakizwa na pik pik mbili tofauti
Ingawa mirungi imepatikana kg 150 na pikpik zimekamatwa
Madereva husika wamekimbia (hapa ndipo najiulizaga).
Hawa nsdio tunafikiria watatupa michongo mizima nani kawatuma wanapokea toka wapi namba zao sasa...
Biblia inasema mungu akaumba majani ya kondeni ,na Kila Jani mungu anamakusudi nalo ,Kuna majani mungu aliyaumba yawe dawa mengine mboga! Na hata kiburudisho!
Mirungi inajiotea yenyewe maporini Huko , nimtu akitafuna eti anakamatwa! Wakukamatwa ni mungu ,na WA kuhojiwa ni mungu!
Bangi inaota...
Kishindo: Oparesheni maalum ‘Tokomeza Mirungi’, hekari 535 zateketezwa – Kilimanjaro
Hekari 535 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa katika oparesheni maalum ‘Tokomeza Mirungi’, iliyoanzia kutekelezwa ndani ya vijiji vya Rikweni, Heikondi, Tae na Mahande, WIlayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro ...
Ni kauli ya Meja Jenerali Mstaafu Kahinda Otafiire, aliyewaomba Wabunge wa Uganda kuondoa bidhaa hiyo katika orodha ya Vilevi vilivyopigwa marufuku Nchini humo.
Waziri huyo amesema, sidhani kama Mirungi ni hatari zaidi kuliko Kahawa na Pombe. Kwa hivyo mabibi na mabwana, naona bora tuiondoe...
Mshtakiwa Rhoda Salum (48) anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 23.84 za mirungi, anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), akiomba kukiri shtaka lake na kupunguziwa adhabu ili waweze kuimaliza kesi hiyo.
Mshtakiwa anakabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za...
Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi
Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38...
Kutokana na Ugumu wa Maisha ni muda sasa serikali iangalie namna mbadala ya kuwasaidia wananchi wake kujikwamu kimaisha!
Soko la bangi dawa lonakadiriwa kufikia USD Billion 344 kwa mwaka ( Zaidi ya Mara Tano ya uchumi mzima wa Tanzania )...
Mzee mwenye umri wa miaka 71, Patrick Malya amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha mirungi, akiwa ni mshtakiwa wa kwanza mwenye umri mkubwa kuhukumiwa kwa kosa la mirungi.
Adhabu hiyo imetolewa wakati Mkoa wa Kilimanjaro, hasa Wilaya za Rombo, Moshi...
Utafiti wa kutosha ufanyike kuhusiana na mwenendo wa haya Malori jamii ya FUSO.
Magari haya yamekuwa ni chanzo kikubwa sana cha ajali zinazo poteza maisha ya Watanzania wengi!! Yaani kama utasafiri usiku ndio utaona namaanusha nini.
Mwendo wa haya magari sio mchezo ni hatari sana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.