life

  1. FRANC THE GREAT

    Simplify your life | Rahisisha maisha yako

    Je, una malengo? Kama unayo, basi jaribu kurahisisha maisha yako. Kivipi? Jaribu kupunguza mambo ambayo yataathiri hayo malengo yako. Mambo ambayo kwa namna moja ama nyingine hayana mchango wowote ule katika malengo uliyojiwekea. Mambo kadha wa kadha ambayo uwepo wake katika mwenendo wa...
  2. FRANC THE GREAT

    Scientists find a place on earth, where there is no life

    It is one of the most torrid environments on Earth. What makes the Earth habitable? It has the right chemical ingredients for life, including water and carbon. But European scientists have recently discovered a place on Earth where no one can live. Scientists have confirmed the absence of...
  3. FRANCIS DA DON

    Ipo siku life span ya binadamu itakuwa miaka 20, 'trend' inaonyesha hivyo

    Nafahamu ipo siku life expectancy ya binadamu itashuka toka miaka 100 hadi miaka 20. Ni suala la muda tu. Yaani mtu kaishi na kuzeeka sana ni miaka 20. Nini mawazo yako?
  4. J

    Kwa kutumia dhana ya " product life cycle" kwenye siasa CCM na Chadema ziko katika hatua gani?

    Naomba wataalamu wa masoko mnisaidie maana hivi vyama vya siasa vinajiuza kwa kunadi sera zao nasi tunanunua sera hizo kupitia mfumo wa ruzuku. Mimi siyo market researcher lakini nimeona graph moja ikielezea stages katika product life cycle kama R&D, Introduction, Growth, Maturity na Decline...
  5. Alvin A.

    Westlife, NSYNC na Backstreet Boys

    Kuna haya makundi yalichuana saana kwa sababu aina ya uimbaji wao ulifanana. Waliuteka sana ulimwengu wa muziki hasa wadada ndo walipenda sana nyimbo japo na wanaume na tulikuwepo kuwasindikiza Kundi gani lilikubamba na kwanini? NSYNC walitamba na ngoma nyingi ila huu wa THIS I PROMISE YOU...
  6. A

    Wewe sio mtu wa kufeli siku zote, ni kipindi cha kupita tu

    Bila kujali kiwango cha Elimu yako, mali na pesa zako au idadi ya watu wanaokuzunguka. Kuna nyakati unaweza kuzipitia na kujiona wewe ni mtu wa kufeli zaidi kuliko wote duniani. Sio wewe pekee, bali kila mtu unaemuona, anaweza kupita katika nyakati hizo pia; Na katika uhalisia, asilimia kubwa ya...
Back
Top Bottom