kuvaa

Karen Margrethe Kuvaas (born June 14, 1947) is a Norwegian politician for the Norwegian Labour Party and since 2007 mayor of Narvik.
Kuvaas took over as mayor succeeding her party colleague Olav Sigurd Alstad following the 2007 election. In November she was one of the four Nordland mayors who fronted the municipalities case in the Terra Securities scandal.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    Teach Men Fashion: Kuna baadhi ya Mavazi "Mwanaume" sio vema kuvaa na Kutoka Nje

    Wakuu. Hii nchi ni huru, kila mtu ana ruksa ya kuvaa nguo yoyote anayopenda kikubwa asivunje sheria tu za nchi. Ila kuna baadhi ya mavazi, mwanaume sio vizuri kuvaa na kutoka nje kutembea nje mbele ya kadamnasi. Hapa ni baadhi ya mifano mitano (5): 1. Vipensi kuonesha Mapaja. Kuna watu...
  2. Salahan

    Sheria inasemaje juu ya wanaume kuvaa mavazi ya kike hasa kwenye sanaa

    Kuna sanaa za maigizo tunaziona huko mitandao ya kijamii wanaume wakivaa mavazi ya kike nakuigiza uhusika wa wanawake. Hili limezidi kuenea na sasa kuhamia upande wa television now tunawaona mbele ya familia zetu mbele ya watoto wetu tena huko kwenye tv kimeniuma zaidi. Kuna joti kiboga wa...
  3. BARD AI

    Dkt. Mpango: Askari wa Barabarani wakianza kuvaa Kamera itapunguza Rushwa

    DODOMA: Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amelitaka Jeshi la Polisi kukamilisha mchakato wa matumizi ya Kamera zitakazokuwa zikivaliwa na Askari wakiwemo wa Usalama Barabarani kwa lengo la kudhibiti Vitendo vya Rushwa Dkt. Mpango ameeleza hayo wakati akizindua Kituo cha Polisi Daraja A, Mtumba...
  4. G

    Kwanini matajiri wanaoishi maisha simple (kuvaa, kuzungumza, kimuonekano, n.k) wanaheshimika zaidi kwenye jamii ?

    Ni watu flani hasa wamiliki wa makampuni ya utalii, vituo vya mafuta, mabasi ya mikoani, n.k. wapo simple sana kimavazi, kimazungumzo na hata kimuonekano.
  5. S

    Unajiita mtoto wa mjini unakula milo mitatu na kuvaa hujui

    Mtoto wa mjini kipaumbele Cha kwanza kuvaa. Huwezi kuwa mtoto wa mjini unaendekeza kula kuliko kuwa nadhifu ,unafeli mchana kweupe.
  6. Tlaatlaah

    Ni nini hasa kazi na umuhimu wa kuvaa nguo za ndani?

    Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
  7. mdukuzi

    Tanzania bara bado kuna maeneo msichana kuvaa suruali ujue ni kahaba, mhamiaji au hana wazazi

    Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri. Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni. Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa...
  8. Tlaatlaah

    Si sawa Kurudia nguo bila kufua, hasa wakazi wa Maeneo yenye Joto

    Na hasa nguo za ndani mfano chupi, bra, boxer, vests. Wanao kuwa jirani nawe wanapata tabu sana kwa uzito wa fukuto la hewa nzito ya kiutu uzima, isiyostahimilika kutoka maeneo mbalimbali ya mwili wako, huku ukiwa umechomekea mwenyewe. 🐒 Kumbuka mwili una hema, na vilevile mwili unapumua. Dah...
  9. kavulata

    Tumuunge mkono Waziri Ndumbaro kwenye uzalendo wa kuvaa jezi

    Simba na Yanga zimeanzishwa miaka ya 1930's, lakini hazijawahi kushinda mataji makubwa ya Afrika kwenye mpira. Baadhi ya sababu za kushindwa kushinda mataji ni pamoja na kuhujumiana zenyewe kwa zenyewe zinapokutana timu za kigeni. Huu ni utamaduni/utani wa jadi ni mbaya sawa na utamaduni wa...
  10. Ghaysh

    Faida za kuvaa T-shirt za biashara yako

    FAIDA ZA KUVAA T-SHIRT ZA BIASHARA YAKO KWA NINI UPRINT KWETU? WEKA ORDER YAKO LEO HUDUMA ZETU Tunaprint T-Shirt, Mashati na Uniform aina zote kwa kutumia mashine za kisasa, Embroidery(Kudarizi), DTF na screen printing. Tunaprint Product Label(Sticker za vigungashio) kwa gharama nafuu...
  11. OKW BOBAN SUNZU

    Midada ya kuvaa nusu uchi kwenye harusi huwa wanatokea wapi?

    Jana nilibahatika kuhudhuria harusi ya kijana wa jirani yangu. Ile harusi ilihudhuriwa zaidi na watu wa mtaani maana ndio kampani. Kitu cha kushangaza ni kukutana na midada yenye maumbo mazuri yakiwa yamejiachia na vimini. Wale madada walikuwa na vibe hatari kila nyimbo wanacheza. Nikajaribu...
  12. R

    Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

    Salaam,Shalom!! Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake, Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana. TABIA za ukosefu...
  13. S

    Mh. Mohamed Mchengerwa utaweza kuvaa viatu vya Ummy TAMISEMI? TAMISEMI ni ngumu, walimu hawajalipwa pesa za likizo za mwaka jana.

    Mohamed Mchengerwa unaaminika ni waziri mchapakazi, tumekuandikia mara nyingi humu kwamba kuna ubaguzi kwenye Halmashauri zetu, mm nimetoa mfano wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, hakuna mabadiliko yoyote mpaka sahivi, baadhi wamelipwa na wengine hawajalipwa. Wakati huo viongozi...
  14. M

    Tabia ya wadada kuvaa tishet au blauz na kuacha maziwa yamening'inia ina maana gani?

    Yaani hii tabia iliyoibuka ya wadada kuacha maziwa yananing'inia, inatuweka wanaume mahala pagumu sana. Mimi nadhani kwa upande wangu makalio yalikuwa hayanisumbui sana lakini hili suala la boobs wamenidaka.
  15. Pdidy

    Ali Kamwe: Jamhuri kama sio kuvaa njano mngekula kumi

    KUMBE hizi timu zinazocheza na yanga zikiwa na jezi za rangi za yanga zina msaada sana. Kamwe amesema kama sio Jamhuri kuvaa njano alikuwa apewe mikono miwili Kwa heshima tukakubaliana jamanii eeh ile njano iheshimiwe tukaishia 5. Hahahaaaaa shikamoo Kamwe.
  16. Kiboko ya Jiwe

    Serikali iamuru Vyuo Vikuu vyote kuvaa sare maalumu

    Vyuo vikuu vinabeba vijana waliotoka famila za kitajiri, kimaskini na vijana wanaotoka kwenye famila za kawaida (sio maskini na sio matajiri). Ni asili ya mwanamke kupenda mambo mazuri, walioishi kota wanalijua hili. Sasa Binti katoka familia za mboga moja, na chuoni analupiwa na serikali au...
  17. Surveyor_1

    Vyuo vya kati vya afya (pharmacy) visivyokuwa na utaratibu wa kuvaa sare

    Habari za jioni wana JF,poleni na majukumu. Nahitaji msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma ya famasia na wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa mavazi ya kawaida na wala sio sare kama wavaavyo wanafunzi wa sekondari. Nahitaji kusoma diploma ya famasi lakini jambo la "sare" linakuwa gumu kutokana...
  18. kavulata

    Kuvaa jezi yenye mabango mawili yaleyale ni dalili ya afya ya akili kwa mvaaji.

    Uvaaji wa maVazi ni ishara ya jambo fulani kwa mvaaji kama vile huzuni, furaha, umoja, aina ya kazi ufanyayo na ujumbe unaotaka kuwasilisha kwa jamii. Jezi mpya ya Simba Ina mabango 2 kifuani yanayoitangaza bidhaa ya moxtra, hii inamaanisha nini kwa atakaekuwa ameivaa hii jezi, imekosewa...
  19. SAYVILLE

    Kwanini Simba ilisitisha kuvaa nembo ya "Visit Rwanda" kwenye African Football League?

    Watanzania tuna hulka ya kupuuzia mambo ya msingi na kuna katabia kalijengwa na kameota mizizi ambapo ukihoji ukagusa maslahi ya watu fulani wanajaribu kukunyamazisha unaambiwa "acha ujuaji". Matokeo yake watu wanaogopa kuuliza maswali ya msingi na makosa yanajirudia kama siyo matatizo kuwa...
  20. D

    Uzalendo sio kuvaa nguo zilizoshonwa kwa vitenge vya bendera ya Taifa

    Watu wengi tumekuwa katika fikra ya kwamba uzalendo ni kuwa tayari kuipigania nchi yako. Huo ndio ukweli lakini uzalendo pia unaambatana na mapenzi ya dhati kwa taifa lako. Mapenzi haya ndio watanzania wengi tunayakosa yaani hatuna uchungu na Taifa letu la Tanzania pamoja na rasilimali zake...
Back
Top Bottom