Mama alai. Nilimwekea Angola ashinde first half livebet nimeona amepata red card nikabet tena Namibia ashinde first half, nao wamezingua nimekuja kula mkeka wa kwanza ule wa pili nimeliwa.[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kuna nyimbo naitafuta ni mtindo wa chakacha nadhani msanii ni wa kutoka kenya. Niliusikia miaka ya 90s mwishoni. Muimbaji ni mdada. Maneno ninayo yakumbuka kwenye wimbo huo ni "Chakacha ndio kipaji changu"
Acha ufala wewe.. mwanaume huwezi kuwa na viemotion kama mwanamke. Kama demu anakupenda unataka nini zaidi ya kula mzigo na kulea mtoto. Tulia na mkeo maana hayo ndo maamuzi yako na ni chaguo lako..
Mkuu, huyo demu hakupendi, sikiliza maneno ya rafiki yako. Just kula mzigo then move on. Huyo demu anajifanya kukutafuta kipindi hiki kwasababu mapenzi aliyoinvest miaka hiyo yaliishia shimoni. Believe me, atakusumbua sana ukimpa moyo wako.
Kwasasa hana cha kufanya kwasababu hana mtu wa maana...
Babumawe issue ni kumsindikiza ndugu yetu kwenye nyumba yake ya milele. Kusindikiza kwa uzuri ni kushiriki kwenye kulipeleka jeneza na kusaidia kufukia. Watu hukimbilia jeneza na kung'ang'ania beleshi ni ile hali tu ya kibinaadam maana watu ni wengi jeneza ni dogo na hata hizo beleshi huwa ni...
Nipo na mwanangu tunatoka Iringa kikazi tunarud zetu Mbeya tunapokaa. Tumesubiria gari za kutoka Dar pale maeneo ya stand ya Igumbiro mpaka mida ya saa kumi gari hola! Wale majamaa wa kukata tiketi ilj wapate cha juu wakawa wanatuzonga zonga ilimradi wapate chochote kupitia tiket tutakazo kata...
Nimesoma na Jonas Mkude pamoja na Atupele miaka ya 2009. Wao wacheza mpira mie naibu waziri wa michezo. Walinipita madarasa mawili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi zipo nyingi sana kijana kwenye hiyo field. Nmetoka kukataa mshahara wa sh laki saba take home. Hapa napofanya sasa napokea take home ya 650 na napewa airtime ya 35000 kwa mwezi pamoja na nauli ya sh 50,000. Bado marupurupu kibao. Soma hiyo kozi hutajutia..
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.