Search results

  1. Kangosha

    Unaenda Ibadan lakini unakuta muda mwingi unatumika kwa Matangazo na Kuuza T-shirt na Ticket za Matamasha, KKKT liangalieni hili!

    Kwa madhehebu ya Kikristo niliyopitia angalau RC ndio wapo smart. Changamoto kubwa ni Ile misanamu wanayoweka Kanisani na mapichapicha ambayo huwa hayana uhalisia na kinachomaanishwa.
  2. Kangosha

    Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

    Kwani shida ipo wapi hapo?. Tatizo wabongo tunapenda ku- judge na kuhoji vitu visivyo na msingi. Hivi kuna madhara ama tatizo gani Kiongozi akiwekewa kiti Kanisani. Kwa hiyo USA president angekuwa kawekewa kiti ndio ungeona sahihi kwako?. Tusiwe watumwa wa kuiga vitu vya nje.
  3. Kangosha

    Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Kuna mdau alishauri magari yote ya Serikali yawekwe alama kuonyesha taasisi husika. Nakubaliana na wazo la mdau maana kuna baadhi ya taasisi za Serikali inaonyesha zina usimamizi mbovu sana wa magari yake. Unakuta gari imepaki bar usiku dereva na wapambe wake wanapiga vilevi tu.
  4. Kangosha

    Watanzania mngekuwa na mtizamo kama wangu CCM ingekuwa imeondoka tangu 1995 na nchi hii tungekuwa mbali kimaendeleo

    Watu wanailaumu CCM bure. Tatizo kubwa lipo kwetu Sisi Watanzania ambao hatujui tunasimamia wapi. Hebu tujiulize nchi za wenzetu zilizoendelea kama China,Marekani,Japan,Urusi n.k watendaji na Wananchi wao wanafanyaje kwa maendeleo ya nchi zao. Hapa Bongo ukiwa Kiongozi sehemu yeyote ukakaza...
  5. Kangosha

    Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

    Itakuwa alilishwa matango pori na wasomi uchwara ambao King.Msukuma huwa anawaponda siku zote. Wasomi wengi wa nchi hii porojo nyingi na maandishi mengi ila output zero.
  6. Kangosha

    Kigwangalla: Rafiki yangu aliyempinga sana hayati Magufuli sasa amkubali, aelekea Chato kuomba radhi kaburini na kuweka maua!

    Kwenye huu mradi hakika Magu alitumia maamuzi magumu na yenye manufaa kwa nchi. Kwa zile kelele za wapinzani na mabeberu ingelikuwa ni mtu mwingine angekata tamaa. Nlichojifunza ni kwamba hii nchi si kila wapayukaji wana nia njema. Wengine ni vibaraka tu na wana wivu uliopitiliza kwa kuona...
  7. Kangosha

    Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Huwa nawaza bora dini zisingeletwa ili tuishi kwa amani. Ila pengine huenda hata pasingelikuwa na dini tungegombana kimakabila. Jambo la muhimu tuombe Mwenyezi Mungu atujalie Amani nchini na awajalie viongozi wote waliopewa mamlaka ya kulinda amani ya nchi hekima na busara katika kuongoza...
  8. Kangosha

    Mwambieni Dkt. Nchimbi, aache kupambana na Makonda, Nyota ya Makonda imeinuliwa na Mungu ili kuwatetea wanyonge kama alivyokuwa Hayati Magufuli

    Siwezi kubishana na mtu mwenye akili za Nyumbu kama wewe. Maana huwa unafikiria Kinyumbunyumbu. Kwa akili yako ya Kinyumbu hebu jaribu kuangalia nchi zilizoendelea kama kuna kuchekeana chekeana kama huku bongo.
  9. Kangosha

    Mwambieni Dkt. Nchimbi, aache kupambana na Makonda, Nyota ya Makonda imeinuliwa na Mungu ili kuwatetea wanyonge kama alivyokuwa Hayati Magufuli

    Kwa nchi za Africa particular Tanzania inabidi wawepo viongozi jamii ya Makonda. Watu wengi wanaopewa mamlaka ya kusimamia mambo mbalimbali hawajitambui kabisa. Tukiendelea kuchekeana chekeana na kupetiana hatutokaa tuendelee daima. Ngozi nyeusi haina ustaarabu kabisa. Inabidi ipelekwe mputa mputa.
  10. Kangosha

    Ni muda wa kuambiana ukweli. Sisi watu weusi hapa duniani tatizo letu ni nini?

    Sidhani kama tutakaa tuje kuwa kama nchi za wenzetu walioendela. Maana Sisi ngozi nyeusi ni wabinafsi Sana. Hatuwajibiki Kwa namna yeyote Ile. Ili tuwe kama wenzetu walioendelea inabidi watu wengi Sana wafe. Magereza inabidi zifurike wafungwa wa ulaji rushwa na wazembe. Maana kinachotukwamisha...
  11. Kangosha

    Ruvuma: Watu wawili wanaodaiwa kuwa Majambazi wamefariki Dunia baada ya kujeruhiwa wakati wakitaka kufanya uhalifu

    Kwa hiyo zamani ulikuwa unaamini taarifa zao?. Elekea wewe hujakumbana na sekeseke za majambazi ndio maana unawaponda Polisi. I wish siku moja ukutane na mkono wa wezi au ndugu yako ndio utajua wanachokifanya polisi kina umuhimu gani.
  12. Kangosha

    Samia akitoka Dubai kutua moja kwa moja Tanesco Nyakato Mwanza

    Kuna mfanyakazi namfahamu ambaye ni fundi wa hicho kituo huwa anakesha Bar hadi asubuhi kwa siku za kazi. Najiulizaga hivi akienda kazini na hizo pombe zake anafanyaje kazi!!!. Na je hamnaga viongozi kwenye hicho kituo mpaka mtu aende kazini kalewa!!.? Au viongozi wao nao ndio walewale.?. Hawa...
  13. Kangosha

    Jeshi la Polisi Mwanza fanyeni ukaguzi wa magari ya shule ili mabovu muyaondoe barabarani

    Kwa mara kadhaa nimekuwa nikikutana na magari specific kwa ajili ya kubeba wanafunzi jijini Mwanza yakiwa mabovu haswaaa. Saa nyingine nakuwa najiuliza hivi Trafic barabarani hawayaoni?'. Unakuta gari hata indicator hazifanyi kazi ila lipo barabarani. Kuna siku gari ya wanafunzi ilikuwa...
  14. Kangosha

    Natafuta soko la Mashati ya shule (Tomato)

    Ungeweka mawasiliano ili iwe rahisi kukupata. Maana PM naona hujibu
  15. Kangosha

    Makonda kuwa waziri kwenye wizara nyeti 2025 na mgombea urais 2030, na kuwa the Next Magu

    Ntafurahi sana akiwa President ili nchi ipelekwe mchakamchaka. Maana sasa hivi watendaji wengi wamedhihirisha bila kusukumwa hawawezi kuendana na kasi.
  16. Kangosha

    Hoja ya Tanesco kwamba umeme kukata ni sababu ya kukua kwa shughuli za kiuchumi imekaa kisiasa

    Tupe mchanganuo wa matumizi ya Umeme kwa mwaka 2020,2021,2022 na 2023 ili tujue nani mkweli.
  17. Kangosha

    Ushauri kwa Waziri Dotto Biteko - Waziri wa Nishati

    Umenena vyema ila kwenye point namba5 umetudanganya. Umeme unaozalishwa kwa maji gharama yake ni ndogo kuliko umeme unaozalishwa na Gas. Ila investment ya umeme wa gas ni ndogo kuliko ile ya umeme wa Maji.
  18. Kangosha

    Kyela-RC Homera Apiga Marufuku Posho Kwa Watumishi wa Halmashauri ya Kyela.Je hii ni Sawa? Wako Wapi Vyama vya Wafanyakazi?

    Dah!. Ila Watanzania tuna roho mbaya sana. Yaani kiongozi ameamua kubana matumizi ili angalau watoto wetu wajengewe madarasa ila mtu analalamika. Japo sijajua hizo posho zilizozuiwa ni za namna gani ila watendaji wengi serikalini huwa wanaandaa mazingira ya kujilipa posho hata pale...
  19. Kangosha

    TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

    Nadhani Tanesco wangekuwa wawazi tu kuhusu issue ya mgao ili raia nao wajipange. Mngetangaza ratiba ili mtu ajue kama atakuwa akifanya shughuli zake usiku (e.g welders) ama kama ni wale wa kununua bidhaa za kuoza basi wasitishe kununua ili kuepuka hasara. Sasa hivi mgao wa umeme usio na taarifa...
Back
Top Bottom