Utangulizi
Wapo watoto wa mitaani lakini pia zipo familia za mitaani. Hizi ni familia zilizokumbwa na majanga asilia kama vile mafuriko, matetemeko ya ardhi, njaa, ukame, umaskini, magonjwa, vimbunga, na kadhalika lakini pia zilizokumbwa na majanga ya kibinadamu kama vile migogoro binafsi na ya...
Utangulizi
Nchini Tanzania, tumekuwa na nyumba nyingi sana za kupokea wageni; nyumba za kitalii, nyumba za kawaida na hata nyumba za asili kwa ajili ya kuwapa huduma mbalimbali wageni wetu mara tu wawasilipo nchini.
Nyumba hizi za wageni zimekuwa zikijengwa zaidi katika Majiji ya Dar es Salaam...
Utangulizi
Kila mwananchi wa taifa fulani, hupenda kuona taifa lake likiwa kinara kwenye uchumi. Hii ni kwasababu, mafanikio ya taifa lolote duniani huanzia kwenye uimara wa uchumi kwanza, kwani hakuna chochote katika dunia hii unaweza kufanya bila uchumi imara, bila fedha, bila mtaji wa...
Kwa faida ya msomaji wangu, kutokana na andiko hili kuhusu Simu, ipo mada na maswali ambayo yameibuka kupitia andiko hili la VIWANDA VYA SIMU. Mada hii ni mada inayoitwa Semiconductor Industry ambayo kwa mujibu wa andiko letu, inaingia kwenye kundi la viwanda vya hatua ya mwanzo kabisa la mobile...
Nashukuru sana kwa kuchangia andiko hili na karibu sana ndugu yangu.
Kwanza kabisa nadhani semiconductor uliyoimaanisha wewe wanaita "Brains of Modern Electronics" yaani maana yake ndiyo injini yenyewe.
Katika andiko hili, ukisoma kile kipengele cha aina za viwanda, kiwanda cha mwanzoni kabisa...
Hapana, tunaweza kuanzisha, kutekeleza na kuendeleza aina zote tatu za viwanda vya simu nilivyoviorodhesha, haijalishi raw materials and resources zinatoka wapi, kikubwa ni hapahapa duniani; TUNAWEZA!!!
Asante sana ndugu yangu kwa kuendelea kutoa maoni yako katika uzi au andiko hili.
Kwa namna ambavyo nimewaorodhesha Wajapan, Wamarekani, Wachina, Wakorea, Wajerumani, Wafini, n.k, nimemaanisha tujifunze kutoka kwao na si kushindana nao.
Lengo si kushindana nao, bali lengo ni kujifunza kutoka...
Utangulizi
Zipo teknolojia nyingi sana ambazo ni kama zimetupita barani Afrika hususan nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwemo Taifa la Tanzania. Katika teknolojia hizi zilizotupita kidogo, ipo teknolojia ya kifaa cha ajabu ambayo hatupaswi tuendelee kuiacha itupite, na kifaa hiki si...
Asante sana ndugu yangu kwa maoni na mawazo haya mazuri. Najua umepitia shairi langu mwanzo mpaka mwisho; Kuna sehemu nimeandika: "Chakula cha Kiswahili tukipeleke Durban." sijasema chakula cha Kizulu kiletwe Dar es Salaam.
Hii maana yake ni kwamba, kwenye urafiki maalum 'Special Relationship'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.