Search results

  1. S

    LATRA Arusha yaahidi kupambana na taxi itakayobeba mzungu kama haijajiunga kwenye Saccos yao

    Assalamu alleikum, Kuna habari zimesambaa hapa Mjini Arusha kuwa LATRA wameunda SACCO'S yao ya taxi wakishirikiana na Baadhi ya matajiri wenye magari lengo likiwa Ni kuhakikisha Hakuna mtu mwingine anapewa leseni ya Minvan taxi asipojiunga na hiyo Sacco's Sasa kuna maswali mengi yanaibuka...
  2. S

    Tunapowaambia Mambo yanayoendelea mnasema Sisi wanoko

    Habari wadau Tunapowaambia kuna shida Kwenu hii nchi mnabebana Bila kujua mnawaumiza wananchi.
  3. S

    Uvukaji wa border ya Namanga / Nairobi wengi wanaotumia hizi Noah wanamia njia haramu / Mizigo ya Magendo

    Habari, Ni jambo la kusikitiaha kuwa watumiaji wengi wa Noah za Namanga Arusha Wanasafirisha bidhaa za Magendo Na wenye bidhaa hizo hawavuki border Kwa kihalali. Nina video ya Mzee mmoja hapa alichukua Rushwa jioni hii ila nimeingiwa na huruma huyu Mzee asije anapoteza kiinua mgongo chake...
  4. S

    Natafuta kampuni inayojihusisha na Msaada wa usajili makampuni Brella

    Habari! Tafadhali Kwa anayejua wakala wa kuaminika kufuatilia usajili wa kampuni Brella. Natanguliza shukrani.
  5. S

    Kwanini kuna vita baridi kati ya taasisi za serikali na sekta binafsi?

    Amani iwe nanyi nyote. Kuna jambo moja naliona na si kuona tu Kila mwenye Biashara analalamika Wafanyabiashara wa magari wanalalamikia LATRA na TRA Kwa uwepo wa ukwamishshaji na kutengeneza mambo Magumu ili kufungua mwanya wa rushwa, Mifumo kutoingiliana Nikiwa na maana kwamba Unapoanza kufanya...
  6. S

    Naghenjwa Kaboyoka Kumbuka Jimbo la Same Mashariki Ndio lilikufanya Ukajulikana

    Naghenjwa Kaboyoka Kumbuka Jimbo la Same Mashariki Ndio lilikufanya Ukajulikana Kwenye hili Taifa Tunakuomba Usitupe mbachao Kwa masala upitao Wakati unapochangia kule Bungeni mambo yako Kumbuka kusema lolote juu ya Jimbo lako. Tunajua wewe si Mbunge tena wa Jimbo hili Ila Kwa heshimu ya Ile...
  7. S

    Nikisema CCM na Serikali yake ni waongo nitakuwa nakosea?

    Ni Matumaini yangu wote mko salama Nasikitika kwamba Serikali ya Chama cha mapinduzi Ni waongo Sana Na Chama chenyewe ni Chama cha hila. Bahati nzuri Mimi sina maneno mengi Sana Naenda moja Kwa moja Kwenye point kuthibitisha uongo wa Chama change cha Mbogamboga. Nikiwa mdogo nilikuta Bicon za...
  8. S

    Uwindaji wa Tembo Endulen Umedhoofisha Diplomasia na Kenya

    Habari wadau! Kuna jambo hili linalalamikiwa sana na Serikali ya Kenya kila kukicha serikali imeweka pamba masikioni. Kuna uwindaji wa Tembo wakutisha unafanyika Endulen (kwa wasiojua Endulen ni pori la wanyama lililoko mpakani kati ya Amboseli National park na Tanzania upande wa huko West...
Back
Top Bottom