Tafiti: Watu wanaopendelea simu za iPhone ni wanawake wasio na wapenzi kati ya umri wa miaka 18-34 ambao mapato yao ni chini na huwa na elimu ya kiwango cha chini ikilinganishwa na watumiaji wa aina nyingine za simu.
Chanzo: teknokona #Fahamuzaidi
Wakuu, nimeitoa huko utwitani, je kuna ukweli...
Wakuu habari za mida hii.
Niende moja kwa moja kwenye hoja,kuna jamaa wangu wa karibu sana anataka kuagizia gari Japan kupitia kampuni tajwa hapo juu. Katika kuwasiliana nao wakamtumia invoice isiyo na component ya insurance,yaani badala ya CIF wametumia C&F. Akawauliza endapo meli itadumbukia...
Wakuu habari za mida hii.
Niende moja kwa moja kwenye hoja,kuna jamaa wangu wa karibu sana anataka kuagizia gari Japan kupitia kampuni tajwa hapo juu. Katika kuwasiliana nao wakamtumia invoice isiyo na component ya insurance,yaani badala ya CIF wametumia C&F. Akawauliza endapo meli itadumbukia...
Majuma machache yaliyopita kuliibuka mijadala mikali sana ya kumdhalilisha mwanaume mwenzetu maarufu sana kwenye tasnia ya burudani hapa nchini kwetu Tanzania jina lake nalihifadhi kwa picha iliyorushwa na mwanamke mmoja mjinga jinga mno, mwenye husda za kipuuzi kwa waliofanikiwa zaidi yake...
-Injini ya vitz old model-Tshs.600,000/
=
-Milango minne 'complete' pamoja na
power windows zake ukiwamo na wa
boot na kasoro wa dereva-
Tshs.600,000/=
-Gearbox-Tshs.200,000/=
-Controlbox-Tshs.100,000/=
-Regeator-Tshs.100,000/=
-Bodi kama screpa natoa bureeeee
ukilipia hivyo vitu...
-Injini ya vitz old model-Tshs.600,000/
=
-Milango minne 'complete' pamoja na
power windows zake ukiwamo na wa
boot na kasoro wa dereva-
Tshs.600,000/=
-Gearbox-Tshs.200,000/=
-Controlbox-Tshs.100,000/=
-Regeator-Tshs.100,000/=
-Bodi kama screpa natoa bureeeee
ukilipia hivyo vitu...
- Injini ya vitz old model-Tshs.600,000/=
- Milango minne 'complete' pamoja na power windows zake ukiwamo na wa boot na kasoro wa dereva-Tshs.600,000/=
- Gearbox-Tshs.200,000/=
- Controlbox-Tshs.100,000/=
- Regeator-Tshs.100,000/=
- Bodi kama screpa natoa bureeeee ukilipia hivyo vitu...
Wakuu,nina kavitz changu Old model kilipata ajali mwaka jana na kimekaa juu ya mawe miezi kama 7 hvi bila kuguswa baada ya kuumizwa na hiki kitoroli.
Naomba kama kuna fundi magari wa ukweli atakayeweza kuitengeneza gari hii na awe mkweli kama gari itapona au niiuze kama sckrepa kama...
PRICE TZS 22,000,000
Location: Dar Es Salaam
ABOUT 1998 TOYOTA HARRIER
Negotiable: Yesssss
Vehicle Type: SUV & 4WD
Kilometers: 79,150
Transmission: Automatic
Four Wheel Drive: No
Vehicle Current Location: Available For Import
Import Duty is Paid: No
Options:A/C , Airbag , Alloy...
Yaani dah, leo katika pitia pitia yangu ya mitandaoni DOLA ya Kimarekani imerudi vile vile kama wiki 2,3 za nyuma,sasa hivi kwa mujibu wa chanzo cha ZOOMTANZANIA ni 1$=Tshs.2265.8, hii ni selling price
Hivi tunaelekea wapi jamani wakati jana tu ilikuwa ni 1$=Tshs.2060 na leo ndio ngoma imeshoot...
Yaani daaaaaaaaah,leo katika pitia pitia yangu ya mitandaoni dola ya Kimarekani imerudi vile vile kama wiki 2,3 za nyuma, sasa hivi kwa mujibu wa chanzo cha ZOOMTANZANIA ni 1$=Tshs.2265.8, hii ni selling price.
Hivi tunaelekea wapi jamani wakati jana tu ilikuwa ni 1$=Tshs.2060 na leo ndio ngoma...
1. A girl knows how to demand. A
woman knows how to contribute.
2. Girls complain too often. A
woman will observe for a while, and
then call her man's attention to the
matter arising.
3. Girls can spend 5k on ice
cream. A woman can manage 5k to
cook for a week.
4. A girl will wanna keep up with...
Jamani!
Juzi kati nimelipia ada ya kudailiwa ya Shilingi elfu 50 kupitia tigo pesa na nikatumiwa Voucher Number ya kuiingiza kwenye CAS na kuendelea na mchakato wa Usajili. Sitaweka screen shot ya hiyo message yao kwa kuwa kuna wezi watanipiga bao hapa,mjini wasanii ni wengi.
Cha ajabu sasa...
Habari wakuu,
Mimi ni mtumiaji wa hiki king'amuzi cha Startimes. Kuna hiki kifurushi kipya kilichoingia sokoni hivi karibuni kinachoitwa 'Nyota', Kiukweli kifurushi hiki kimejali hali ya mtu wachini kabisa kwani bei yake ni poa ni Tshs.4,000/= tu kwa mwezi.
Nawapa pongezi Startimes kwa...
Heshima kwenu wakuu,
Ajira ni ngumu kinyama,maisha ni magumu hatari,nauli tu ni shidaa wakuu,hapa mzee mzima ndo nipo kwenye lift ya gari moja hivi private la msamaria mwema mmoja linatokea Kigoma nakotokea mimi na linaishia Manyoni.
Nikifika Manyoni naongea na madereva wa malori nao...
Wakuu salam,
Mimi mwenzenu natarajia kwenda Mwanza kwenye workshop fulani hivi kwa siku kadhaa katikati ya mwezi huu. Sasa nipeni ramani basi, nitakuwa Town, na sijawahi kufika kabisa huko.Naombeni mnitajie Logde za bei nafuu za standard ya kati ili nisevu kidogo angalau nirudi na kazawadi cha...
Wakuu eeh,mi nina shida moja kubwa,whatsapp yng kila baada ya mwezi mmoja inaexpire,so inanibidi niidownload upya,kitendo hki huwa kinanikera sana wakuu,naombeni msaada kama kuna uwezekano nidownload whatsapp ambayo haitahitaji update za mara kwa mara
Haya sasa kwa wale tulioapply majibu yamekuja wakuu,wameweka majina ya waliowaita ktk gazeti la mwananchi la leo,ni mengi mno,wengine tumeangukia pua,kila ka kheri mlioitwa
Pitieni hizi link kidogo wakuu,picha zimegoma kuwa uploaded
http://image-cdn.beforward.jp/large/201403/234660/BF238307_e4d054.jpg
http://image-cdn.beforward.jp/large/201403/219891/BF223734_68fd29.jpg
Nimeshindwa kuweka picha vizuri wakuu.nimekukuruka weeee wapi,sasa nauliza hiviii kati ya hzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.