Search results

  1. Oya Tusepe

    Sipendezwi na picha halisi ya twiga katika ndege za atcl

    Habari, Bila kupoteza muda niseme tu kwamba binafsi kama mtanzania, nakerwa na kuchukizwa sana na picha halisi ya Twiga iliyopo katika mkia wa ndege katika kila ndege ya Shirika la ndege la Tanzania ATCL. Sipendezwi na uamuzi huo wa kuweka picha halisi ya mnyama (Twiga) isiyokuwa na ubunifu...
  2. Oya Tusepe

    Wataalamu wa ndoto mpo wapi? Njooni mnipe tafsiri

    Habari wakuu. Nimeota naoneshwa na mtu wa kawaida tu na 60 60, ni kwamba 60 moja imeandikwa juu ya nyingine. Kisha akaniambia, KIJANA HUO NDIO MWISHO WAKO. Note: Ni kwa watu wenye uelewa wa ndoto pekee
  3. Oya Tusepe

    Je, unaweza kumbadili mtu mzima tabia?

    Moja kati ya mambo ambayo yatakuchanganya sana akili yako ni kudhani kwamba unaweza kumbadilisha mtu fulani tabia ili awe kama unavotaka wewe. Nikupe taarifa tu rafiki kwamba jambo hilo linauwezekano mdogo unaokaribiana na kushindikana. Na ikiwa utachagua kuamini kwamba haiwezekani kumbadilisha...
  4. Oya Tusepe

    Sitosahau: Nilipokea muujiza kwa njia ya Njozi

    Habari, Leo nimeona nishee na ninyi kisa ambacho kwangu ni tukio muhimu sanaa kwa namna zote katika maisha yangu. Nilipokuwa na umri mdogo nilikuwa na tatizo moja sugu na la kusikitisha sana, tatizo la kukojoa kitandani kila nnapolala usiku. Pamoja na kwamba nilikuwa mdogo lakini kwakweli...
  5. Oya Tusepe

    UCHAMBUZI: Kwanini ni vigumu sana kumzima The Bongofleva Music Trade Mark "Diamond Platnumz"?

    Salam, Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakishindwa kuelewa kwamba katika jamii yoyote kupata umaarufu na heshima kuna gharama yake, tena gharama kubwa!. Twende sambamba katika uchambuzi huu ili uweze kuelewa kinagaubaga, ya kwamba ni kwanini ni vigumu kumpoteza kijana Naseeb Abdul na kuizima...
  6. Oya Tusepe

    Fahamu chimbuko na asili ya wakazi katika visiwa vya Ukerewe

    Habari, Lengo la uzi huu ni kufahamishana historia yetu ambayo katika upande wa makabila imekuwa vigumu sana kuipata kulingana na kukosekana kwaa taarifa za moja kwa moja zilizohifadhiwa kuhusu uwepo wetu (waafrika kiujumla) Historia hii haina lengo la kubeza wala kuchafua kabila tajwa. Na...
  7. Oya Tusepe

    Redio ya Tanzania (TBC Taifa)

    Habari zenu watanzania wenzangu. Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana, ni nini hasa dhumuni kuu la uwepo wa radio hii hasa katika nyakati hizi za maendeleo makubwa katika utoaji na upatikanaji wa habari tena kwenye nchi ya kidemokrasia yenye vyama vingi na milengo tofauti katika taifa moja tena...
  8. Oya Tusepe

    NATAFUTA KAZI

    Habari, Mimi ni kajana wa kitanzania kabisa, umri wangu ni miaka 23, na level yangu ya elimu ni ngazi ya certificate (ya Information Technology I.T). Natafuta kazi yoyote ya halal ya kufanya, ni vizuri zaidi kama nikipata atleast inayoendana na ka elimu nlikokapata ila haina shida endapo...
Back
Top Bottom