Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021.
Alipohojiwa, alisema kauli hii; "Mungu, wasaidie watu wale."
Akimaanisha watu wa Msumbiji...
๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐๐ ๐๐ข๐๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ง๐ฌ๐๐ซ ๐๐ฅ-๐ฌ๐ฎ๐ง๐ง๐.
- ๐๐ฃ๐ข๐ ๐ฒ๐ ๐๐ข๐๐ข๐ญ๐ข ๐ค๐ฐ๐๐ง๐๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฅ๐๐๐ง๐ ๐ฒ๐ ๐๐๐๐จ ๐๐๐ฅ๐ ๐๐๐จ.
- ๐๐๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐๐ง๐๐จ๐ค๐จ๐ญ๐ ๐ฆ๐ข๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐ ๐ฏ๐ข๐๐ก๐ฐ๐ ๐ฏ๐ฒ๐๐ค๐ ๐ฉ๐๐ฆ๐๐๐ง๐ข.
๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐ฌ๐ญ:
Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa, Dkt. Stergomena Tax analiambia bunge kuwa hali ya usalama katika...
BEFORE I GO TO SLEEP.
Christine anapoamka asubuhi, anashangaa yupo mahali asipopafahamu na pembeni yake amelala mwanaume asiyemjua.
Anajaribu kuvuta picha lakini hamna kinachokuja kichwani.
Anaenda bafuni, humo anakutana na picha kadhaa ukutani, picha akiwa pamoja na bwana yule alomwacha...
Itsa WEEKEND. Tuanze nayo hivi basi ...
1BR
Sarah anatafuta makazi mapya hapa jijini Los Angeles lakini kazi hii inakuwa ngumu sana. Kwanini? Pesa ndogo.
Akipata panapofaa, basi kodi ni kubwa, na akipata pa mfuko wake, basi ni pabaya ama kupo mbali na kazi. Yani alimradi tabu.
Lakini...
Ukiona hii chapa, basi ujue humo ndani sio drama, mapenzi wala vita. Hawa jamaa hawana mambo hayo. Hawa wameletwa duniani kwa kazi moja tu, kuwafurahisha wapenzi wa 'horror' na sie tunawashukuru mno kwa hili.
Hizi hapa ni baadhi ya kazi zao, ukipata muda basi jikonge na roho yako.
1. HAPPY...
1. BABY'S DAY OUT
Mabwana watatu wanaojifanya wapiga picha wanamteka mtoto mdogo wa miezi tisa toka familia ya kitajiri kwa lengo la kutengeneza pesa ya maana kutoka kwa wazazi wake.
Bahati mbaya mtoto anakuja kuwatoroka na kuzamia ndani ya jiji la Chicago. Sasa mabwana hawa watatu wanabakiwa...
Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo.
1. SECRETARY
Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee anataka kuyaishi maisha kama mtu wa kawaida.
Anautafuta ujuzi wa uchapaji (typing) kisha anaomba kazi ya...
Usiseme hukuambiwa.
Huku ugali mdogo, nyama nyingi. Story kiduchu, shughuli ya kutosha. Jikaze mwanetu.
1. NYMPHOMANIAC
Bwana Seligman, mwanaume wa makamo anayeishi peke yakez anakutana na mwanamke aliyejilaza njiani akiwa hoi kwa kipigo. Mwanamke huyu anaitwa Joe na story yake hamna...
Huu ni mkasa unaoenda mwanzo mpaka mwisho wake. Enjoy.
Leon ana talanta ya kupiga picha lakini bado haijamlipa kama vile yeye anavyotamani.
Anaamini anastahili kupata zaidi na zaidi na jambo hili linamfanya akose kabisa furaha.
Siku moja mpenzi wake (Maya) anampasha habari kuhusu bi. Susan...
Baada ya kuponea maisha kwa kuzama ndani ya ziwa la barafu, kipindi akiwa msichana mdogo, Cecilia alikata shauri la kumtumikia Mungu kwa kipindi chake chote alichobakiza duniani.
Kwahiyo anapofikia umri, anajiunga na 'convent' ya hapa Italia ili apate kuwa sister kwa kiapo na matendo.
Hivyo...
Anachotaka Christine ni kupanda cheo hapa benki toka kuwa afisa mikopo mpaka kuwa meneja wa tawi.
Anaamini akikaa hapo, wazazi matajiri wa 'boyfriend' wake watamheshimu na kumwona anafaa kuolewa na mtoto wao.
Lakini sasa shida ni moja, mfanyakazi mwenzake anayeitwa Stu.
Bwana huyu naye...
Baada ya kutokea kwa mauaji ya watu kadhaa, polisi wanafika eneo la tukio kwa lengo la kufanya uchunguzi.
Katika eneo hilo wanakutana na miili isiyopungua mitatu, yote imelala mfu, wanaikagua na kujiridhisha.
Wanaupata mwili mwingine ndani ya 'basement', mwili wa msichana mzungu, makadirio ya...
Utafanya nini kama umefiwa, umeupeleka mwili wa mpendwa wako kuhifadhiwa alafu unapigiwa simu kwamba mwili hauonekani? Umepotea? Haujulikani ulipo?
Tafuta popcorn, ambaa na kisa hiki..
Baada ya kutokea ajali, mlinzi wa hospitali akigongwa na gari mita kadhaa kutoka eneo lake la kazi, inspekta...
Wakati wewe ukienda kuhani msiba unaogopa hata kuaga maiti kwa kuitazama au basi ukiaga unaanza kutusumbua wiki nzima kwamba marehemu anakutokea kwenye kona, basi jua kwa hawa mabwana hali ni tofauti.
Kila mnyonge na mnyonge wake.
Wao hawakuishia kuiona maiti, bali waliisasambua kabisa mpaka...
Kota za polisi, Kunduchi. Majira ya saa nane mchana leo hii..
Wakati mambo mengine yakiwa yanaendelea kama kawaida, watu walisikia kelele na purukushani kutoka kwenye ghorofa ya juu kabisa katika jengo la block G, chumba namba 30.
Kelele hizo hazikuwa za sherehe, ni mwanaume alikuwa anang'aka...
Na hiki ni kisa kama nilivyosimuliwa na Magreth Haule, mwanamke aliyewahi kuhudumia shule moja ya msingi (English Medium) kata ya Mbezi Juu, Dar es salaam...
Jirani Yangu wa kule Goba Hakuwa Mtu wa Kawaida.
Sasa ni miaka miwili imepita, nimehamia na ninaishi kwengine, lakini yale ya kule Goba nayakumbuka vema kana kwamba yametokea jana yake, na huenda mambo hayo nikayakumbuka hata na milele maana ni moja ya visa ambavyo vilinishangaza sana.
Mwaka...
Ni muda mrefu sana kwenye hizi anga za simulizi, sasa hatimaye nimerejea na hadithi hii.
Kwa wale wageni, waweza tazama hizi ... ni kazi ya mikono yangu ...
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1331844/
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1220493/...
It's been a damn long time kiunga hiki, hope mko poa nyote, karibuni tena uwanjani hapa tupendekezeane filamu nzuri za kutazama katika kipindi hiki cha weekend, na hivi mvua inanyesha ukikaa zako ndani unafurahia muda wako to the maximum!
Tazama hapa ....
1. THE 8th NIGHT
Miaka alfu mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.