Huyu ni mmojawapo wa wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe kipindi cha dirisha kuu la usajili msimu huu. Cha kushangaza alicheza mechi zisizozidi mbili za mashindano. Tangu mwezi Septemba 2023 hajaonekana tena akichezea Singida Fountain Gate/Singida Big Stars.
Je sababu ni ipi? majeruhi, mkataba...
Wanabodi
Nianze kwa kuchukua tafsiri ya neno Siasa kutoka Wikipedia Dictionary
Politics (from Ancient Greek πολιτικά (politiká) is the set of activities that are associated with making decisions in groups, or other forms of power relations among individuals, such as the distribution of...
Maswali ya kujiuliza
-Mtangazaji yuleyule mmoja siku zote ila wachambuzi tofauti ...Je hao wachambuzi nao wamesafiri hadi Qatar?
-Mechi zinachezwa kwenye viwanja na miji tofauti tofauti....inawezekanaje mtangazaji huyohuyo kutangaza mechi zote kwa siku
-Wachambuzi kuchambua matukio kama penati...
Msimu uliopita Simba ilipotolewa kwenye CAF Champions League na hatimaye kuishia robo fainali Kombe la CAF Shirikisho aliyekua msemaji wa Yanga Haji Manara aliwaponda Simba kuwa wanacheza kombe la "Losers" na kwamba mabingwa wote wapo CAF Champions League.
Ikumbukwe wakati anatoa kauli hiyo...
Ikiwa leo ndio siku ya mwisho ya MAOMBOLEZO ya kitaifa kwa Hayati Rais Magufuli nitoe kongole kwa VYOMBO vyetu vya habari hususani vituo vya radio na televisheni kwa weledi wa hali ya juu hasa kwenye mpangilio wa vipindi(content) pamoja na nyimbo za MAOMBOLEZO.
Kwa hakika mmedhihirisha ule...
Uchaguzi mkuu uliopita gazeti la Mwananchi kupitia kwa mwandishi wa makala wa kujitegemea Julius Mtatiro lilikua likifanya uchambuzi wa Wagombea pamoja na watarajiwa wa kugombea nafasi ya urais kutoka vyama mbalimbali.
Ilikua ni kama series ya magazeti kutoka na makala ya mhusika mmojawapo...
Mpaka sasa sijasikia siasa za majitaka wala kuongelea maisha binafsi ya wagombea.
Nakumbuka uchaguzi wa mwaka 2010 mgombea mmoja aliambiwa eti kaiba mke wa mtu.
Uchaguzi wa 2015 mwingine aliambiwa eti ni mgonjwa.
Hongereni vyama vyote kwa kufanya kampeni za kisayansi.
Tunatumaini hii hali...
Pongezi kwa kusimamia weledi wa fani yenu. Nakumbuka tangu Uchaguzi Mkuu wa 2010, 2015 na wa mwaka huu mmeendelea na msimamo wenu wa kutotumika kupiga kampeni kwenye upande wowote wa siasa.
Hii ni nzuri sana ili kutowagawa mashabiki wenu.
Keep it up
Wanajamvi,
Takribani wiki moja sasa tangu kipyenga cha kuanza Kampeni kilipopulizwa.Vyama vya siasa vipo "field" kuomba kura. Japo ni mapema mno kutoa tathmini ila so far tunaomba mambo yanaenda vizuri labda yaharibike siku za mbeleni. Zile siasa za "majitaka" pamoja na kushambulia mambo...
Kwa ndugu zetu Waislamu wanalo baraza la kuidhinisha "Halal foods" yaani vyakula ambavyo havijachanganywa na hata chembe ya product/ ingredients yoyote itokanayo na nguruwe pamoja na wanyama wengine waliokatazwa kwa kadiri ya imani ya Waislamu, Wasabato na Wayahudi.
Ukiangalia bidhaa za Azam...
Huu ni utafiti(usiokua rasmi) juu ya uwingi wa wazungumzaji wa makabila yaani wale ambao kiasili ni wenyeji wa kabila husika pamoja na wale ambao wamejifunza makabila husika kutokana na mwingiliano wa shughuli mbalimbali za kimaisha.
1. WASUKUMA
-Idadi yao inakadiriwa kuwa zaidi ya milioni 10...
Baada ya Simba kufanya mabadiliko ya benchi la ufundi mwaka jana ambapo Patrick Aussems alitemwa, Dennis Kitambi aliyekua Kocha Msaidizi sikusikia hatma yake.
Je, anafanyia wapi kwa sasa kazi yake ya ukocha wa mpira?
Hii ni aibu kwa kampuni kubwa na kongwe ya simu kama Zantel kutokua na duka/ kituo cha kuhudumia wateja makao makuu ya nchi Dodoma.
Mnashindwa hadi na kampuni ndogo kama SMILE.
Alafu niliwahi kusikia kuwa Zantel imenunuliwa naTigo sasa. Kwanini kwenye maduka ya Tigo (ambayo yametapakaa mikoa...
Sasa ni rasmi kituo cha redio 91.2 ABM Radio cha Dodoma kilichokua kikimilikiwa na galacha wa fani ya utangazaji wa Radio ndugu Abdallah Majura kimeuzwa kwa Mtumishi wa Mungu Apostle Boniface "Bulldozer" Mwamposa na kwa sasa zinapigwa nyimbo za Gospel 24/7.
Ieleweke kwamba ndugu Abdallah Majura...
Haya makampuni ya Simu ya Tigo na Airtel yanafanya zoezi la usajili wa laini kuwa gumu kutokana na utaratibu wao wa kipekee waliojiwekea.
Ukienda kusajili laini Vodacom unatakiwa uoneshe kitambulisho chako cha NIDA pekee alafu unawatajia namba zako za Vodacom unazotaka kusajili (hata kama ni...
Wadau,
Miaka ya nyuma wanahabari kutoka media houses mbalimbali-nikimaanisha waandishi wa habari pamoja na wafanyakazi wengine wanaofanya kazi kwenye vyombo vya habari walikua na utaratibu wa kufanya matamasha (mabonanza) kwa ajili ya kufahamiana, kurefresh mind, kupunguza stress za ofisini...
Wadau,
Sijaisikia hii radio station kitambo sasa hasa kwa frequency za Dar.
Kwa waliopo Arusha vp tujuzane hii radio bado ipo active au ilishakufa kifo cha mende.
Nawasilisha
Wadau,
Hili ni janga jipya ambalo Serikali inabidi itunge sera au sheria ya kukabiliana nalo kama vile ilivyotunga sheria ya kuondoa vifungashio vya vilevi maarufu kama viroba.
Ieleweke kuwa makampuni ya kutengeneza soda hukusanya chupa zilizotumika. Pia baadhi ya makampuni ya vileo kama...
Moja ya maproducers fundi kabisa kuwahi kutokea kwenye Bongo Flava.Alitengeneza hit song nyingi sana kipindi yupo G Records na baadae G 2.Katika wasanii ambao aliwasaidia sana ni Ali Saleh Kiba.
Baadhi ya hit song alizotengeneza ni kama Nainai-Ommy Dimpoz,Nakshi...
Huyu mtangazaji Bhoke wa kipindi cha Dadaz EATV(Channel 5) kiukweli anakera kwa tabia yake ya kutuonesha kitovu pamoja na sehemu ya chini ya tumbo hususani katika zile "jingles"/promo ambazo huwa akionekana akicheza cheza pamoja na wadada watangazaji wenzake wa hicho kipindi.
Kwenye hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.