Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu ameanza ziara jimboni Iramba na kushangaa kukosekana Huduma za Maji
Lisu anasema Mbunge wa Iramba ni Waziri wa Fedha lakini Jimbo lake halina Maji hivyo amewataka Wananchi wamuondoe na Mungu wa mbinguni atawabariki na kuwaletea mvua
Source Jambo TV...
Mohamed Said ameelezea mara nyingi namna Wazee wa Pwani walivyomtoa Nyerere Darasani Kwenye chaki na kumuingiza Siasani hadi akawa Waziri mkuu na hatimaye Rais
Mwinyi na Mkapa inajulikana waliwekwa na Mwalimu Nyerere
Kikwete alisema akina Lowassa na Sitta Ndio walimwomba agombee na watampa...
Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema Waziri mkuu mstaafu Mzee Sumaye ni mtu Muungwana na mfuatiliaji sana wa majukumu
Nchimbi amesema mwaka 2005 akiwa DC Bunda tena kijana wa miaka 31 alienda kwa Waziri mkuu Mzee Sumaye na kumwomba asigombee Urais amwachie Kikwete
Nchimbi amesema Mzee Sumaye...
Nauliza Tu maana kumekuwa na maneno maneno Mengi sana hasa Kwenye hizi PhD za darasani na zile za Heshima
Wewe graduate hiyo degree ni Yako au Umebeba kichwani kichip Cha Chuo husika?
Nimekaa pale kuelimishwa 🐼
Dunia ya AI 😄😄🔥
Enzi za Nyerere huu Mwaliko ulikuwa ni wa Tanzania ila hizi zama za Utandawazi tunaalikwa kijumuiya zaidi
Tuzidi kumuombea Rais Ruto akatuwakilishe vizuri na zikitokea fursa za kupeleka manjagu au Wajeda kama Haiti atutonye jirani zake
Nawatakieni Sabato Njema 😄😄
Sijajua katika hayo mambo manne Tanzania tunakwama wapi?!🐼
Watu tuko zaidi ya million 60
Ardhi ina kila kitu Mazao, Misitu, Madini, Mito, Maziwa, Wanyama, Bandari, nk...nk
Siasa Safi tunao CCM, Chadema, Maridhiano, Kikosi Kazi Cha Prof Mkandala nk
Uongozi Bora Nyerere, Mwinyi, Mkapa...
Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia
Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi
---
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hakuna anayeweza kuongoza...
Wale Wataalam wa History naomba mnielimishe tafadhali Ukoloni Mamboleo Ndio kitu gani
Ruto amesema Bajeti za nchi za Africa ni za Kikoloni mamboleo kwa sababu inabidi tukope Ndio zitekelezwe hivyo amesema ndani ya Miaka 3 Bajeti ya nchi yake itabalance na kamwe hawatakopakopa tena
Nasubiri...
Nawazungumzia Balozi Ammy Mpungwe, Balozi Dr Asharose Migiro na Balozi Ombeni Sefue
Hawa ni wazee kwa umri lakini wanaijua Dunia kulingana na majukumu waliyopitia na akili inachoka haizeeki
Tazama Mjadala wa DP World ulivyoendeshwa kiswahili Swahili na Watu wasio na Uelewa wowote wa Dunia ya...
Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao
Lisu amewaambia anaelekea mkoani Singida ambako amepangiwa Mikutano ya wiki 3 na wakati anarejea atafanya mkutano wa hadhara Hapo...
Kichwa cha Uzi kinajieleza chenyewe
Niwapongeze Wana Nyasa kwa ukomavu wenu wa kisiasa na hasa nikielewa katika Kanda zote za Chadema DP World aliviogopa sana Nyasa hasa hapo Mbeya kwa akina mkuu BAK
Nimpongeze kipekee Mchungaji Msigwa kwa hotuba nzuri aliyoitoa baada ya Uchaguzi
Nikiri wazi...
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka wazazi mkoani humo kuacha mizaha na watoto wao.
Chalamila ametoa mfano wa mama mmoja mwenye watoto Watatu wa kiume ambao alikuwa hawapi kitu chochote wanapokwenda shule na sasa Wavulana hao Watatu Wote wamethibitika kuwa ni Mashoga...
Hadi sasa haieleweki Rais Ruto katika safari yake iliyobatizwa Jina la " Coming to America" alitumia kiasi gani kukodi ndege
Wataalam wa usafiri wa anga wanakisia Serikali imetumia Zaidi ya Ksh million 200 kukodi ndege hiyo Lakini Rais Ruto anasema Rafiki zake ndio walimkodisha ndege hiyo kwa...
Wakati 30% ya vituo vimeshatangaza Matokeo ANC wanaongoza kwa 43%
Ili iunde serikali ANC wanatakiwa kupata 50% ya Kura lakini wachambuzi wa siasa wanasema inawezekana wasipate na hivyo watalazimika kuunda serikali ya mseto
Source: BBC Focus on Africa
Tuzidi kuwaombea 😀
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewataka Viongozi wa CCM kuzunguka kona zote na kuwaletea Taarifa za Viongozi wabovu na wezi Ili wawashughulikie kungali Mapema
" Msije kutulaumu wakati wa Uchaguzi mambo yakiwa Mabaya" ameonya Makonda
Mwenyekiti wa CCM Komredi Sabaya amemuhakikishia...
Katika wale Wabunge 19 Wenye mgogoro na Chadema wako waliogombea kwenye Majimbo na walipata kura nyingi tu japo hazikutosha mfano Mdee, Kaboyoka, Bulaya, Jesca, Makamba, Mwaifunga nk na kwa Kanuni jumla ya kura za Wagombea Ubunge majimboni na kura za mgombea Urais ndio huingizwa kwenye formula...
Mwenyekiti Mpya wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi amewashukuru Wananchi Wote wa Kanda ya Nyasa na kusema " I never thought Hip hop would take me this far"
Salam za Shukrani amezitoa kupitia Ukurasani X
Pia soma Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa...
Hili swali nalielekeza Duniani kote ambako Utaratibu wa kuapisha Wabunge kwa kutumia Vitabu Vitakatifu Vya Mitume wa Mungu wa Mbinguni unatumika.
Kwa upande wa Rais haina shida kwa sababu wanakuwepo Jaji Mkuu na Mufti au Askofu.
Niko pale nasubiri Elimu.
Mungu wa Mbinguni awabariki.😀
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.