Ni kweli ni awamu yake, kwa vile yeye sio mwanasheria, inawezekana kabisa wamemletea batili bila kumweleza ni batili, na Bunge letu la ajabu kabisa, likaipokea miswada hiyo yenye ubatili, ikaipitisha hivyo hivyo na ubatili wake!, wakatunga sheria batili, wakampa Rais Samia akaisaini bila kujua...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu, Gazeti la Nipashe ya Leo.
Makala ya leo ni kutoa shukrani na Asante kwa Rais Samia kwa Sheria Mpya ya Uchaguzi, ila Haki ya Watanzania Kuchagua, na Kuchaguliwa, Bado Imeporwa kwa kukasimiwa kwa Vyama vya Siasa. Hili ni ombi, haki hiyo Irejeshwe kwa Wananchi...
Kuna vitu vingi vilitokea ila havikuandikwa.
Mungu anaitwa ni Mungu muumba wa mbingu na nchi na kila kitu. Ukweli ni kuwa Mungu hakumuumba shetani, wala hawezi kumuangamiza!, ana uwezo wa kumzuia tuu.
Mungu ni omniscient, omnipotent na Omnipresence, so does the devil!.
Baada ya shetani kuasi...
Tumia lugha ya picha na kuongea kwa tafsida, mti wa katikati ni ule mti na tunda ni lile tunda la kumegwa, kula tunda ndio kumegwa.
Shetani baada ya kuingia bustanini kama nyoka, akajigeuza mtu, akamfundisha Eva jinsi ya kumega tunda, akamega.
Mtoto wa kwanza wa Adam, Caini alizaliwa na roho...
Kwanza tumia capital letters kutaja jina la Mungu.
Mwanzo wa Mungu pia ndio mwanzo wa shetani, ambaye mwanzo alikuwa malaika, ndie alikuwa malaika mkuu 2nd in command baada ya Mungu.
Mungu ana nguvu na shetani ana nguvu, ila nguvu za Mungu ni kubwa zaidi ya nguvu za shetani kwa mambo mawili...
Kwanza rekebisha hapo, sio "kuepuka viongozi kukodi ndege kwa Marafiki", ni "kuepuka viongozi kukodiwa ndege na Marafiki" .
Pili naunga mkono hoja kuhusu Magufuli na kununua midege kuifufua ATCL Dreamliner imejaa wiki nzima! Hongera ATCL na pongezi kwa Rais Magufuli, unaona mbali
P.
Nimeipenda hii!, haswa hiyo ya kutaka kumchonganisha baba na mwana, kwa kuichonganisha record label ya baba na mwana, Columbia Records ya Michael Mauldin ambaye ni baba mtu, na Def Jam Records ya Jermaine Dupri ambaye ni mwanae!. Thanks for this, I didn't know this!.
Baada ya Makonda kuletwa...
Naunga mkono hoja. Umenikumbusha Uchaguzi 2020 - Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli
humo nilisema
P.
Hapana sio mbunge wa Arusha, jimbo la Arusha lilitengwa kwa Lema katika ule mgao wa kugawana nusu mkate na CCM. Konda Boy hakai sana hapo Arusha, anapanyoosha tuu kisha anarejeshwa Dar. Atagombea Kinondoni au atakwenda kwao Kolomije
P
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.