Recent content by Mapso

  1. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kama hujapata na wakatangaza tena kazi za kada Yako basi we ulifeli oral mkuu. Acha kubisha kubali matokeo
  2. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Umeelewa nilichomaanisha??? Au nikupe evidence waliopata placement za juzi kati hapa na walipiga oral mwaka Jana bye bye ni placement husika tu.
  3. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hapana hapo Huwa wanamaanisha kuwa sio kwamba umefeli mazima maana yake Ile post husika huwezi kupata kutokana na ufinyu wa nafasi Cha msingi ni kuendelea kuchungulia PDF lolote linaweza kutokea ni ushahidi kuhusu hili
  4. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hamna mkuu ukiona not selected for oral after oral inamaana huwezi kupata post husika kwa sababu wenye vigezo wametimia Cha msingi endelea kufatilia PDF lolote linaweza kutokea kupitia database lakini kama walitangaza na kwingine tena kada the same na yako apo huenda umekosa mazima.
  5. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Database ya academician ipo mkuu sema kule watu wanafeli sana hawafikishi 70% ila kwenye miongozo Yao database ya wakufunzi ipo mbona. NB. Mbona Kuna mtu namfahanu juzi apa kapata tutorial assistant alikosaga mwaka Jana akapotezea kaja kupata mwaka huu.
  6. M

    Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Toa connection mkuu kwa vijana muda wa kwenda kule mbona bado upo nafasi zilikua 250 lakini wanaohitimu unakuta ata 320 uko
  7. M

    Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Mi mwenyewe sijajua ndoivo huenda yupo kwenye system
  8. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu ukitoka kwenye oral unajua kabisa umezingua au?? Kama nafasi ilikua moja huenda upo database although Kuna ushauri mzuri juu hapo kwa Wana jukwaa unaweza kuufuata utakusaidia.
  9. M

    Investigation Officers II (250 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

    Email angalia kuanzia week ya kesho mpaka jumamosi au jumapili ukiona kimya ujue umekosa
  10. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ukiacha kufundisha panel maana Kuna maswali pia after presentation Yale general question kama ya interview za kawaida. anyway ndo utaratibu wao hatuwezi badilisha kitu
  11. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ila 70% sio poa wakuu unatakiwa uwe vizuri kweli kweli kwaiyo ukipata chini ya 70% ndo kwa heri au wataku place kwenye hizi kazi za kawaida ambazo passmark ni 50%
  12. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Na hao kutangaza nafasi tena kwa sasa ni Ngumu at least miaka miwili mpaka mitatu ijayo japo hatuwezi jua lolote linaweza kutokea.
  13. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hiyo asali ni kubwa mno mkuu
  14. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wana utofauti mdogo sana na TRA kwa officer wanaoanza kazi kumbuka TRA ni 2M+ kwa officer wapya
  15. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wana utofauti mdogo sana na TRA kwa officer wanaoanza kazi
Back
Top Bottom