Recent content by Kasanghwa

  1. Kasanghwa

    Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Unaonekana huna wivu ulioelezea kwenye stori yako. Kupiga kichwa ukuta hadi utoke damu halafu unamwacha mgoni wako aondoke!!!??? Hii haingii akilini!!
  2. Kasanghwa

    SGR Mchakato wa Nauli ndiyo huu hapa, mtoto hadi Moro kulipa Tshs 12,400

    Kiuhalisia katika kufanya majaribio, wameweza kufunga mabehewa 14 yenye uwezo wa kubeba abiria 957. Sasa kama nauli ikiwa ni 10,000/ maana yake ni Tshs 9,570,000/ kwa safari moja. Na nilimsikia mkurugenzi mkuu akisema gharama ya umeme walitumia Tshs 360,000/ kwenda na kurudi Moro. Kama treni...
  3. Kasanghwa

    Poleni wanaume

    Hii mada inachochea ukatili wa kijinsia. Wala haina mshindi!!!
  4. Kasanghwa

    Utafiti: Watu ulimwenguni kote wanapoteza furaha kadri miaka inavyokwenda

    Mfano mzuri ni sherehe za Christmass. Christmas ya miaka ya nyuma na miaka hii kuadhimisha kwake hakuna furaha. Zamani hadi ofisi za umma zilikuwa na miti ya christmas.
  5. Kasanghwa

    Wife material anahitajika

    7 Uzoefu!!???
  6. Kasanghwa

    Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

    Unapatikana wapi?
  7. Kasanghwa

    Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

    Kwani Mwigulu naye si ana Phd?
  8. Kasanghwa

    Simba wadhamiria kukamilisha uwanja wao, Mo Dewji achangia Bilioni 2

    Hii ndo elimu saaa. Wanachama na mashabiki kuweni makini na hoja ilotolewa hapa.
  9. Kasanghwa

    Kijana: Kama upo kwenye mahusiano, hakikisha una "marafiki" wengine angalau watatu nje

    Kibaiolojia, mwanaume ameumbwa kuzalisha! Yaani kuwa na wanawake wengi. Hata ukimtazama kuku jogoo, akiwa na kuku jike yaani matetea kumi, wala hawagombani. Ila akiongezeka jogoo mmoja kwa hao majike 10, lazima majogoo yapigane!
  10. Kasanghwa

    BASATA wapo wapi? Wasanii wa muziki siku hizi wanaimba matusi waziwazi, tena bila uoga

    Haya mambo yapo tu kwenye jamii jamani. Hata zamani wasanii waliimba kama hayo! Kwa mafano Albert Mangwea na Mchizi Mox waliimba wimbo wa Mikasi. Mbona haukulalamikiwa!! Muhimu tafsida tu!
  11. Kasanghwa

    Msaada wa kutumia line ya simu ya nje hapa Tanzania

    Jamani naomba kwa mwenye uelewa anifahamishe, nawezaje kutumia line ya nje ya Tz, "omantel" to be specific hapa Tanzania?
Back
Top Bottom