Kiuhalisia katika kufanya majaribio, wameweza kufunga mabehewa 14 yenye uwezo wa kubeba abiria 957. Sasa kama nauli ikiwa ni 10,000/ maana yake ni Tshs 9,570,000/ kwa safari moja. Na nilimsikia mkurugenzi mkuu akisema gharama ya umeme walitumia Tshs 360,000/ kwenda na kurudi Moro. Kama treni...
Mfano mzuri ni sherehe za Christmass. Christmas ya miaka ya nyuma na miaka hii kuadhimisha kwake hakuna furaha. Zamani hadi ofisi za umma zilikuwa na miti ya christmas.
Kibaiolojia, mwanaume ameumbwa kuzalisha! Yaani kuwa na wanawake wengi. Hata ukimtazama kuku jogoo, akiwa na kuku jike yaani matetea kumi, wala hawagombani. Ila akiongezeka jogoo mmoja kwa hao majike 10, lazima majogoo yapigane!
Haya mambo yapo tu kwenye jamii jamani.
Hata zamani wasanii waliimba kama hayo! Kwa mafano Albert Mangwea na Mchizi Mox waliimba wimbo wa Mikasi. Mbona haukulalamikiwa!! Muhimu tafsida tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.