Recent content by chakii

  1. chakii

    Natafuta mtu mwenye geto kali Mwanza awe ananiazima

    Mtu akukabidhi nyumba yake wewe umpe hela ya maji!? Una utani Sana
  2. chakii

    Yule mama amerejeshewa hati yake iliyokaa bank ya NMB kwa miaka 5

    Hongera kwake, vipi wamemlipa fidia ya usumbufu waliomsababishia kwa kushikilia hati yake wakati alishalipa deni lote?
  3. chakii

    Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

    Hapana mkuu, wala haihitaji elimu ya chuo kikuu kutambua kuwa waganga wanatuibia Tu. Cha msingi ilikuwa wachimbaji kuungana na kukusanya mtaji utakaowawezesha kununua vifaa vya kisasa na teknolojia nzuri ya namna ya Ku locate madini yalipo na kiwango , au kuiomba Serikali kuwawezesha...
  4. chakii

    Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

    Kwani mganga yeye hahitaji Mali wala utajiri?
  5. chakii

    Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

    Waganga wangekuwa na uwezo wa kuwafanikishia mafanikio huko migoni nafikiri hata wao wangeongoza kwa kuchimba madini na Kuwa mabilionea, eti unataka umfuate mganga umlipe laki mbili au tatu alafu yeye akufanikishie kupata dhahabu ya Milioni 200 kweli? Hivi mnafikiri vizuri kweli
  6. chakii

    Ndoa zenu zipoje?

    Kazi kweli
  7. chakii

    Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye

    Kama kuna mtu anayeongezeka hapo basi hayo siyo mapenzi tena ni biashara, ndio maana NDOA nyingi hazidumu kutokana na msukumo WA watu wa nje. NDOA siyo biashara
  8. chakii

    Tundu Lissu: Makazi ya Wamasai wa Sanya Station karibu na Airport ya KIA yamevunjwa, eneo lao imepewa Kampuni ya Oman Airports

    Huu ni muendelezo mbaya wa uonevu dhidi ya jamii za wafugaji, mmewafanya ndugu zetu kuwa wakimbizi ndani ya nchi Yao, mlianzia kule Ngorongoro kuwafukuza, Leo Mmewafuata KIA, Kesho sijui itakuwa wapi, kwa kifupi ni kama vile Serikali hii ya Samia haitaki kuona Wamasai wakiishi kwa Amani katika...
  9. chakii

    Kesho Lissu akiwa Rais unadhani ni kipi cha kwanza atafanya kuhusu Muungano?

    Wazanzibari watamuunga Sana mkono Lissu maana hata wao huu muungano wa mchongo hawautaki
  10. chakii

    Nchi inakaribia kupasuka

    Jaribu kutofautisha nyakati bwana mdogo, JPM alizuia mikutano lakini madhara yake yameonekana siyo ya kusimuliwa, wacha watu wazungumze msiwazibe midomo, pale penye ukweli pafanyiwe kazi. Period
  11. chakii

    Mikoa 10 bora ya kuishi Tanzania

    Popote utaishi Tu endapo hela unayo, hakuna mkoa utakaoishi bila kupambana alafu ukafanikiwa kupata riziki, huo mkoa haupo. Popote utakapokuwepo lazima upmbane Tu Japo fursa zinatofautiana kutoka eneo moja kwenda jingine
  12. chakii

    Nimefika safari yangu, wife hajaniuliza hata kama nimefika salama

    Mlime block hautomuona tena Online
Back
Top Bottom