Recent content by Adam john mbonile

  1. A

    Jeshi la Polisi wameongeza muda wa kuomba kazi hadi 26.05.2024

    Sasa kweli man unaombaje na living certificate kweli huyo asubirie akipata cheti
  2. A

    Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Mtegemee MUNGU pekee ndioo mtoa connection mwanadamu ni njia tu ambayo MUNGU anaitumia kufikisha mibaraka yake
  3. A

    Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Msisite kuomba mwakani tena wapambanaji
  4. A

    Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

    Imeisha hiyo hamna email zingine ,hongereni mlio pataa na msikate tamaa kwa mlio kosa MUNGU anakusudi lake hajawasahau na Wala msije kumlalamikia MUNGU kuwa hasikii maombi yenu ,maombi yenu MUNGU anayasikia ila muda sahihi Bado msikate tamaa
  5. A

    Investigation Officers II (250 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

    Hamna anae jua but still uwe unaangalia kwa email Hadi tarehe ya mwisho kuenda mafunzo
Back
Top Bottom