Timu ya Wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) wanasimamia zoezi hilo ili mawasiliano katika Barabara Kuu ya Lindi - Dar es Salaama kurejea kwa haraka.
Waziri wa Ujenzi, Bashungwa alieleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara hiyo ambayo iliharibiwa baada ya mvua kubwa zilizoambatana na Kimbunga Hidaya kunyesha.
Pia soma Waziri wa Ujenzi atoa maelekezo mawasiliano Barabara ya Dar - Lindi yarejee ndani ya Saa 72