Zoezi la upandishwaji Madaraja kwa walimu haliendi kwa haki

Kayabwe

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
372
73
Kwanza naomba nimpongeza Raisi wetu wa Jamuhuri ya Serikali ya Tanzania, Samia kwa kuruhusu walimu walipokuwa wamesitishiwa vyeo vyao waserereke.

Ila zoezi haliendi kwa haki, Kuna watu walianza kazi miaka ya nyuma na waliguswa na usitishwaji wa upandishwaji lakini hawajaserereshwa.

Sasa hili limefanya waliotanguliwa kazini kuwa mbele ya waliowakuta kazini.Tunaomba serikali iingilie kati ili haki itendeke. Tangu June na sasa tunaenda August watu Bado hawajabadilishiwa muundo au mishahara, na udhibitisho upo.

Pia soma:TAMISEMI: Watakaoshindwa kukamilisha zoezi la kupandisha watumishi madaraja kuchukuliwa hatua
 
Back
Top Bottom