DPP anachaguliwa na Rais hakuna mwenye uwezo wa kumwajibisha
Hii ni hoja nzito inayohitaji kufuatiliwa kwa karibu. Na ikidhihirika kuna uonevu toka kwa mwendesha mashtaka hatua za kisheria ufuate.Mnamkamata mtu kwa kosa lenye dhamana. Mahakama Kuu inaruhusu dhamana. Serikali inakataa rufaa kuzuia dhamana. Mtu anakaa jela miezi 4, tena mwakilishi wa watu. Siku ya hukumu kuhusu dhamana Serikali inaondoa shauri mbele ya jopo la majaji 3.
Lengo? Kumkomoa mtu. Siasa za ukomoaji zinajenga chuki kwenye jamii na chuki inazaa visasi.
Haitoshi majaji kukemea Ofisi ya DPP. Mfumo wetu lazima uweke uwezo wa waendesha mashtaka wa aina ya kesi ya Mbunge wa Arusha Mjini kuwajibishwa. Wanasheria tazameni namna ya kuwajibisha ofisi ya DPP kwa uonevu wa makusudi dhidi ya wananchi
Labda Lissu akipewa TLS ............ akili zao zitafunguka!!
we katika hali ya kawaida bila ushabiki wa kichama alichofanyiwa Lema kunyimwa dhamana ni sawa?sometimes ufikirie kwa kichwa na politics sio uaduiHongera zitto,naona una tii ule usemi usemao"if you can't beat them,join them"
GOODY
Na ndio maana waliojichimbia chini zaidi hawamtaki agombee TLS.Labda Lissu akipewa TLS ............ akili zao zitafunguka!!
Tusubiri TLS watawapa adhabu gani hao mawakili wa DPP/AG waliotumia mfumo kumwonea mtu. Hapo ndio tutajua TLS ipokwa ajili ya haki na wanyongeMnamkamata mtu kwa kosa lenye dhamana. Mahakama Kuu inaruhusu dhamana. Serikali inakataa rufaa kuzuia dhamana. Mtu anakaa jela miezi 4, tena mwakilishi wa watu. Siku ya hukumu kuhusu dhamana Serikali inaondoa shauri mbele ya jopo la majaji 3.
Lengo? Kumkomoa mtu. Siasa za ukomoaji zinajenga chuki kwenye jamii na chuki inazaa visasi.
Haitoshi majaji kukemea Ofisi ya DPP. Mfumo wetu lazima uweke uwezo wa waendesha mashtaka wa aina ya kesi ya Mbunge wa Arusha Mjini kuwajibishwa. Wanasheria tazameni namna ya kuwajibisha ofisi ya DPP kwa uonevu wa makusudi dhidi ya wananchi
Kuna masuluhisho makuu matatu kwakuwa pia huyo DPP anateuliwa na Rais hayoooo 3Mnamkamata mtu kwa kosa lenye dhamana. Mahakama Kuu inaruhusu dhamana. Serikali inakataa rufaa kuzuia dhamana. Mtu anakaa jela miezi 4, tena mwakilishi wa watu. Siku ya hukumu kuhusu dhamana Serikali inaondoa shauri mbele ya jopo la majaji 3.
Lengo? Kumkomoa mtu. Siasa za ukomoaji zinajenga chuki kwenye jamii na chuki inazaa visasi.
Haitoshi majaji kukemea Ofisi ya DPP. Mfumo wetu lazima uweke uwezo wa waendesha mashtaka wa aina ya kesi ya Mbunge wa Arusha Mjini kuwajibishwa. Wanasheria tazameni namna ya kuwajibisha ofisi ya DPP kwa uonevu wa makusudi dhidi ya wananchi
TLS ni chama cha mwanasheria hakina nguvu wala uwezo wa kumwajibisha yeyote nje ya chama zaidi ya wanachama wao acha porojo Na kampeni zililizo chini ya kiwangoLabda Lissu akipewa TLS ............ akili zao zitafunguka!!