johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,133
- 164,555
Ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja iwe ni kwa kuongea au kwa maandishi.Juzi ametoa angalizo kuhusu baa la njaa/ukame,bajeti na ujenzi wa reli ya kati na jana mawaziri wamejibu halikadhalika mwenezi wa chama naye amezungumza leo.Tunahitaji viongozi wa aina hii wenye mbinu za kumtoa nyoka pangoni na kumfanya bubu aseme.Hata ile hoja yake ilikuwa ni mbinu tu ya kuitaka serikali iseme kwa takwimu na hatimaye imesema na imeeleweka.Ninamwona Zitto kama mwanasiasa anayeendana na kasi ya JPM na inawezekana mawazo chanya anayopeleka serikalini yakafanyiwa kazi na hii itazidi kumjenga.2025 huko upinzani viatu vya Lowasa havina mvaaji Je Zitto vitamtosha?
Mizaha midogomidogo na yale mambo yetu ya uswahilini matolaUnamwambia Mswahili aache Uswahili? Mimi ni Mswahili halafu unaniambia niache Uswahili wangu, nichukue unini sasa?
Ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja iwe ni kwa kuongea au kwa maandishi.Juzi ametoa angalizo kuhusu baa la njaa/ukame,bajeti na ujenzi wa reli ya kati na jana mawaziri wamejibu halikadhalika mwenezi wa chama naye amezungumza leo.Tunahitaji viongozi wa aina hii wenye mbinu za kumtoa nyoka pangoni na kumfanya bubu aseme.Hata ile hoja yake ilikuwa ni mbinu tu ya kuitaka serikali iseme kwa takwimu na hatimaye imesema na imeeleweka.Ninamwona Zitto kama mwanasiasa anayeendana na kasi ya JPM na inawezekana mawazo chanya anayopeleka serikalini yakafanyiwa kazi na hii itazidi kumjenga.2025 huko upinzani viatu vya Lowasa havina mvaaji Je Zitto vitamtosha?
Kama vile kubadilishana jimbo na mbunge mwingine haya ni mambo ya "kiswahili"Aache Uswahili...
USWAHILI ni nini?
Una madhara gani kitaifa?
Neno uswahili lina tofauti na USALITI?
kama si tabia yake ya usaliti na tamaa ya madaraka Zitto angekwenda kuwa mwenyekiti wa CHADEMA taifa mwaka 2018 kwani Mbowe ameamua kustaafu rasmi uenyekiti.CHADEMA ilimjenga vizuri Zitto ili aje kuwa kiongozi wake lakini kutokana na tamaa ya mapesa ya CCM na madaraka akageuka msaliti.
Nini kinafanya suala hilo liwe la kiswahili na sio kizungu?Kama vile kubadilishana jimbo na mbunge mwingine haya ni mambo ya "kiswahili"
Pale ufipa pengo lake halijazibika hadi leo.Chezea mzee wa buzwagi!Hizo sifa ungempa Mbowe, ungepigiwa makofi kila upande.....Ila kwa sababu umempa Zitto sikia neno usaliti likitamkwa zaidi.