Zitto Kabwe yuko kimya ishu ya January Makamba

Msimamo wa chama chake ili iweje? We chama chako chadema msimamo wake ukoje kuhusu mafisadi??
Alafu zzk sio mkurupukaji anayeendeshwa na mihemko!
 
Amesema kuwa hii meseji ni kwa ajili ya Makamba?? Au unakurupuka nawe kama bavicha mlivyo?? Sijaona alipomtaja Makamba au kusema hiyo ni meseji ya Makamba.
 
Tumia akili yako kudadavua wewe! Usiwe ka mfuniko na pipa lake!
mkuu.jazba ya nini tena?! mbona unaweka ushabiki mbele?! mimi siko huko.sio mwanachama wa chama chochote ili nafuatilia siasa kwakuwa ipo katika maisha yetu ya kila siku.
 
Msimamo wa chama chake ili iweje? We chama chako chadema msimamo wake ukoje kuhusu mafisadi??
Alafu zzk sio mkurupukaji anayeendeshwa na mihemko!
siko CDM mkuu.pia CDM kwasasa kimejijenga zaidi.ACT inahitaji platform kama hizi kutueleza misimamo yake kwa vitendo.kumbuka ZZK ni.marafiki.
 
Dunia ya sasa tunataka viongozi simple ambao maisha yao yanaakisi hali ya anaowaongoza walaaau...
Kiongozi kutembelea li hammer sijui wakati wananchi wanakula viwavijeshi ni dalili ya utapeli na ulaghai. Haifai kujinasibisha na utajiri na vitu vya thamani kama viongozi wa ulaya huku jimboni wanafunzi wanakaa chini.
Hawa wanaojiita viongozi vijana embu waje na fikra na matendo mapya,kodiyetu isiwafanye kujiinuuua na kujiona wao hodari. Wapo wanaopiga mipicha kwenye ofisi za kisasa na viti vya kuzunguka wanasahau wananchi wanaowaongoza hata mlo mmoja imekuwa tabu...lets think about our nation at large
 
Kuna habari mtaliano keshalipwa!! Uzi upo instg. Na kashaambiwa akanushe!. Tunasubiri kesho
 
ben ninafahamu sana kuwa uko upande wa zzk, na sio dhambi kwani siasa sio vita, ushauri wangu kwako tunapofika kwenye mambo yenye maslahi mapana ya taifa ushoga ukae pembeni, ikiwezekana usiwe mwepesi wa kuchangia jambo hasa lenye mwelekeo wa kutetea uchafu kabla mtuhimiwa hajajitetea mwenyewe. najua una ndoto kubwa na sifa ya mtu hujengwa kwa mda mrefu japo huhatibika kwa sekunde..angalia sana unayo yaamini na kuyasimamia, mwache zzk aeleze mwenyewe alichokusudia kukisema
 
Wanazid kutia doa nafasi ya vijana ndani ya siasa kwa tamaa zao ili waishi maisha ya kina beckham,au wanataka tuishie kua wabongo flavour nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…