chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Mwenyekiti wa chama cha ACT wazalendo na mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe amesema kuwa serikali haitaweza kufikisha mapato iliyojipangia, amesema ikijitahidi sana itafikia 60% tu, kwa kuwa vyanzo vyake havina uhakika
Ametolea mfano kuwa kwenye chanzo kikubwa cha mapato amabyo ni forodha (customs) kimeshuka kwa asilimia 49
Yeye anapinga serikali kupiga ramli kuwa itakusanya 100% wakati kila mtu anaona kwa uwazi mapato ya forodha yanashuka.Anapiga ramli kama mganga wa kienyeji eti haitaweza!!!!! Yeye mwenyezi Mungu anajua ya mbele?????
Kakosa ya kuongea kaingia kwenye kupiga ramli
Mkuu utasubir sana, Zito sio saizi yenu tena hicho kichwa kaa mbali nacho,Naona dalili za zitto kuporomoka kisiasa kama Kafulila
Sasa nyie vilaza mnataka nini sasa? Je mnataka serikali isikadirie mapato?? Mbona yeye kafanya makadirio ya mshahara wa ubunge ndiyo maana akaenda kugombea??Yeye anapinga serikali kupiga ramli kuwa itakusanya 100% wakati kila mtu anaona kwa uwazi mapato ya forodha yanashuka.
Badala kujifunza mapungufu mnayoonyeshwa mnataka kumshambulia anayeokoa jahazi
kumbe ramli inapigwa hivyo, umenifumbua macho....Anapiga ramli kama mganga wa kienyeji eti haitaweza!!!!! Yeye mwenyezi Mungu anajua ya mbele?????
Kakosa ya kuongea kaingia kwenye kupiga ramli
usema vilaza unataja wengu mkuu.......Sasa nyie vilaza mnataka nini sasa? Je mnataka serikali isikadirie mapato?? Mbona yeye kafanya makadirio ya mshahara wa ubunge ndiyo maana akaenda kugombea??