LGE2024 Zitto ataka wagombea wa ACT Wazalendo walioenguliwa Uchaguzi Serikali za Mitaa warejeshwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
1,384
3,876
Wakuu,

Moto unazidi kufuka.

====

1731060745551.png

"Kwa miaka mitatu, tangu Januari 2022, tumekuwa Mitaani na Vijijini kuimarisha chama chetu ACT Wazalendo.

"Tumehakikisha kuwa tumepata wanachama wengi wazuri ambao wamegombea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. HATUTAKUBALI kamwe nguvu yetu hii iharibiwe na wapuuzi wachache wanaoengua wagombea wetu. Kila mahala tulipoweka wagombea tulihakikisha kuwa wamejaza fomu kwa ukamilifu kwa msaada wa wanasheria wa chama.

"TAMISEMI tunataka uchaguzi HURU na HAKI. Rudisheni wagombea wetu. Wananchi waamue viongozi wanaowataka."

1731060832288.png
 
Back
Top Bottom