TataMadiba JF-Expert Member Feb 7, 2014 9,866 5,742 Apr 5, 2016 #1 Ni kuhusu uamuzi wa Bodi ya Rufaa za kodi juu ya African Barrick Gold(ABG).
Ritz JF-Expert Member Jan 1, 2011 49,681 39,013 Apr 5, 2016 #2 Wakija pro-Chadema kwenye huu uzi watakuwa upande wa African Barrick Gold, na kuwatetea kuwa wameonewa.
Wakija pro-Chadema kwenye huu uzi watakuwa upande wa African Barrick Gold, na kuwatetea kuwa wameonewa.
ntamaholo JF-Expert Member Aug 30, 2011 12,923 6,932 Apr 5, 2016 #3 Hivi mwanzoni hukusema kuwa ni kuingilia uhuru wa mahakama? Leo anapongezwa
haa mym JF-Expert Member Jul 7, 2014 4,829 4,612 Apr 5, 2016 #4 Ritz said: Wakija pro-Chadema kwenye huu uzi watakuwa upande wa African Barrick Gold, na kuwatetea kuwa wameonewa. Click to expand... kiongozi unawajulia sana chadema
Ritz said: Wakija pro-Chadema kwenye huu uzi watakuwa upande wa African Barrick Gold, na kuwatetea kuwa wameonewa. Click to expand... kiongozi unawajulia sana chadema
Ritz JF-Expert Member Jan 1, 2011 49,681 39,013 Apr 5, 2016 #5 haa mym said: kiongozi unawajulia sana chadema Click to expand... Ni kweli ndiyo zao wewe wasome tu utaona.
haa mym said: kiongozi unawajulia sana chadema Click to expand... Ni kweli ndiyo zao wewe wasome tu utaona.