Zingatia haya mambo 10 katika maisha ( Ten commandments of life )

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
15,558
45,546
1. Usimsaidie mtu bila kuombwa msaada.
2. Lazima ujue kuwa adui wako makubwa ni miongoni mwa ndugu yako.
3. Rafiki wa kweli zaidi ni wewe mwenyewe tu.
4. Ukiwa maskini utadharaulika mpaka na watoto wadogo
5. Mtoto mdogo ndiye pekee anayependwa bila sababu. Ukiwa mtu mzima utapendwa kwasababu tu.
6. Usipigane vita isiyokuhusu
7. Fedha hazijatengenezwa kwaajili ya wapumbavu na wajinga.
8. Ukipatwa na tatizo kubwa atakayeumia zaidi ni mama yako mzazi wengine wataumia kwasababu tu au kwa kuigiza.
9. Hakuna jambo la kudumu. Raha , shida, magonjwa, njaa, elimu, cheo, kazi , dhiki vyote ni vitu vya muda mfupi sana. Vitakwenda kunyauka na kusahaulika. Hata wewe utasahaulika.
10. Mungu muumba mbingu na nchi ndiye mwamuzi wa maisha ya kila mtu.
 
Sasa kama Mungu ndiye mwamuzi wa maisha ya kila mtu, hizo kanuni 9 ni za nini? Si tuishi hobelahobela tu kwani tayari maamuzi yalishawekwa?
 
Swali zuri.

Huyo ndugu atakuwa hajasoma mstari kwenye Biblia unaosema, nanukuu.

Mithali 16:9
[9]Moyo wa mtu huifikiri njia yake;
Bali BWANA huziongoza hatua zake.
A man's heart deviseth his way: but the LORD directeth his steps.
 
1. Usimsaidie mtu bila kuombwa msaada.
2. Lazima ujue kuwa adui wako makubwa ni miongoni mwa ndugu yako.
3. Rafiki wa kweli zaidi ni wewe mwenyewe tu.
4. Ukiwa maskini utadharaulika mpaka na watoto wadogo
5. Mtoto mdogo ndiye pekee anayependwa bila sababu. Ukiwa mtu mzima utapendwa kwasababu tu.
6. Usipigane vita isiyokuhusu
7. Fedha hazijatengenezwa kwaajili ya wapumbavu na wajinga.
8. Ukipatwa na tatizo kubwa atakayeumia zaidi ni mama yako mzazi wengine wataumia kwasababu tu au kwa kuigiza.
9. Hakuna jambo la kudumu. Raha , shida, magonjwa, njaa, elimu, cheo, kazi , dhiki vyote ni vitu vya muda mfupi sana. Vitakwenda kunyauka na kusahaulika. Hata wewe utasahaulika.
10. Mungu muumba mbingu na nchi ndiye mwamuzi wa maisha ya kila mtu.
Tisa na Kumi, excellent
 
namba 8 sio kweli
nilisha pata shida baba alikua na mimi mwanzo mwisho mpaka linaisha swala langu
sipendi sana mtu anae onesha kuwabagua wazazi.. ikiwa kuna akina baba wengi wametoa maisha yao kwa ajiri ya familia zao ziishi maisha mazuri
 
Back
Top Bottom