Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,554
- 10,923
Habari wanaJF, natumaini wote ni wazima. Mimi ni member mpya kabisa waJF natumia muda huu kuwapa website mbili bora ninazozitumia mimi kutazama movies online hii ni kwa wale wote wenye mapenzi na movies na wasiotaka kupitwa na kila movie mpya inayoingia sokoni kutoka mataifa ya nje ya Africa.
1. Website ya kwanza inaitwa www.1movies.to au www1.1movies.is hii ni kwa Single movies na Series kutoka nchi mbalimbali duniani yapo mataifa mengi sana katika website hii moja ya taifa kutoka Afrika Mashariki ni Kenya. Website hii itakuwezesha kuona movies katika mfumo wa SD - HD bila matangazo yoyote bure bila kuwa na akaunti ila ili uweze kudownload kwa direct link ni lazima uwe na Premium Membership lakini kama huna uwezo wa kutoa pesa hizo unaweza kutumia Internet Download Manager (IDM) kupakua movie yoyote katika mfumo wa SD - HD. Wana movies za toka 90s mpaka mwaka huu wa 2018. Wana movies za aina zote kuanzia Action, Horror, Adventure, Drama, Thriller, Comedy, Crime etc.
2. Hii sasa ni kwa wale wazee wa huko kutoka Asia yani wao hawana mataifa tofauti ya Asia, website inaitwa www.kissasian.ch au www.kissasian.sh yani hapa utapata kuanzia single movies mpaka series wazee wa kazi wenyewe wanapendelea kuita season hapa utapata movies zote mpya kutoka Asia, season utakuta zile ongoing na completed ni wewe tu unataka kipi. Kwa wale wazee wa season hapa nawashauri wapite sana South Korea huko ndo mambo mazuri yalipo utapata vitu vya Action, Drama, Thriller etc.
Na hio ndio Top 2 yangu sina mambo mengi sana ila bado natafuta website moja niwe na Top 3 yangu, kama umeikubalia Top 3 yangu usisahau kushare ya kwako na sisi tupate vitu vipya.
Natumaini nimeeleweka japokuwa bado mgeni ila nina imani nimeandika kitu cha kueleweka. Nawatakia mafanikio mema kwa kila cha haki mnachopigania wanaJF wenzangu. Asanteni sana.