1. Kuna magari bilion 1 yanayotumika duniani, marekani pekee ikiwa na magari 250 million..
2. Kila siku magari 165,000 yanatengenezwa sawa na magari 60 million kwa mwaka.
3 Ukiwa unaendesha kwa 60kph inaweza kukuchukua chini ya miezi 6 kufika mwezini.
4. Gari ndogo ya kawaida inaweza kuwa na 30,000 parts.
5. 92% ya magari yote mapya yanayouzwa brazil yanatumia ethanol inayotokana na miwa.
6. 75% ya magari yote ambayo yametengenezwa na Rolls-Royce yanatumika hadi sasa.
7. Volkswagen inamiliki Bugati, Bentley, Porsche, Audi, Lamborghini na Ducati.
8. Mmarekani wa kawaida wa gari anapoteza masaa 38 kwenye foleni.
9. Ajali ya kwanza ya gari ilitokea 1891 Ohio, Marekani.
10. Nchini Turkestan, kila mwezi madereva wanapewa lita 120 za petrol ya bure.
11. Los Angeles ndio eneo pekee duniani lenye magari mengi kuliko idadi ya watu.
12. Mvumbuzi wa "Cruise Control" alikuwa kipofu.
13. Gari ambalo limerekodiwa mileage kubwa kupita zote lilikuwa na mile 2,850,000 sawa na kilomita 4,586,630.
14. 95% ya maisha ya gari unaishiwa kwenye parking.
15. 35% ya wananchi wote duniani wanaendesha upande wa kushoto.
16. Horsepower 1 sawa na 746 Watts. Na farasi 1 anaweza kutoa horsepower 7.
17. Ni makosa makuwa kuendesha gari chafu nchini Urusi.
18. China ndio nchi inayoongoza kwa kuzalisha magari mengi. Ikiwa gari 1 kati ya 4 yanatoka china.
19. San Marino Ina magari 1263 kati ya watu 1000.
20. Africa ina magari 3% ya magari yote duniani.
Source; Mtandao