TECNO Tanzania
Senior Member
- Jul 6, 2016
- 192
- 217
UTOFAUTI NA UPEKEE WA SOFTWARE PROGRAM ZINAZOPATIKANA KWENYE TOLEO CAMON 19
Phone Cloner
Hii ni software program inayopatikana kwenye toleo hill la camon 19. Phone cloner inampa nafasi na urahisi mteja wetu alie nunua simu hii ya camon 19 series kuhamisha Data zake kutoka kwenye simu yake ya zamani ya Tecno Kwenda kwenye simu yake mpya. Hivyo kukurahisishia wewe mteja kuendelea kutumia simu yako mpya ikiwa na Data zako zote kutoka kwenye simu yako ya zamani.
Kids Zone
Siku izi kumekuwa na tabia ya wazazi kuwaachia simu watoto wao kwa ajili ya kujifunza kwa video kwenye mitandao ya kijamii kama vile Youtube lakini pia kuangalia video nyingine kwa ajili ya kujiburudisha kama vile cartoons. Sasa Toleo hili la Camon 19 series pia limekuja na feature hii ya Kids Zone ambayo itamuwezesha Mzazi mwenye tabia ya kumuachia mtoto wake simu aweze kumpa mipaka(limitation) ya baadhi ya application za kutumia na Kuseti muda ambao anataka mtoto wake atumie simu yake. Hivyo bas kupitia kids Zone mtoto huyo ataweza kutumia Application ambazo mzazi atakuwa ameziruhusu tu, wakati appplications nyingine zikiwa zimejifunga for Privacy Purpose.
120Hz high refresh rate
Uwezo wa Camon 19 series umekuwa wa kipekee sana maana ina Kiwango cha juu cha kuonyesha upya cha 120Hz ambao hukuruhusu kuvinjari taarifa na kutazama video vizuri bila ya kuganda ganda. Kwa wapenzi wa Mobile Games, simu hii ina Graphics kubwa sana ambayo itakuweza kucheza games kwenye simu yako bila kusumbua.
ELLA Assisatant
Hii ni Software program ambayo ina msaidia mteja wetu kutumia Voice Assistant kufanya commanding tofauti tofauti ya Progams kwa kutumia sauti kwenye simu yake. ELLA assistant ambayo inauwezo mkubwa Zaidi ikiwemo kumruhusu mteja wetu kubadilisha maneno ya sauti Kwenda kwenye maandishi na kisha kutuma ujumbe huwo .Hii ndo maana halisi ya TECNO kusikiliza maoni ya wateja wetu.
Language master
Feature hii inamuwezsha mteja wetu kubadilisha maneno yalipo kwenye ujumbe aliotumiwa au anao utuma Kwenda kwenye Lugha yoyote ambayo anataka ujumbe uwo usomeke. Uwezo huu ni wakipekee na umewarahisishia sana wateja wetu ambao wanachangamoto kwenye lugha za kigeni.
Memory fusion
Toleo hili pia limakuja na uwezo wakumruhusu mteja wetu kutanua uwezo wa uhifadhi Data kwenye simu yake, hasa kwenye upande wa RAM ambapo mteja wetu atakuwa na uwezo wa kuongeza uwezo wa Uhifadhi mpaka 5GB kutoka kwenye ROM storage.
Tembelea duka lolote la TECNO au ili kujipatia simu hii.
Kwa maelezo zaidi piga namba; 0744 545 254 au 0678 035 208