maforce
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 660
- 616
USIPENDE KUTUMIA ALAMA HIZI BILA KUZIELEWA . HIZI NI BAADHI YA ALAMA NA MAANA YAKE:-
pendo la moyoni
busu zito
pendo changa
busu la pozi
pendo linalostawi
siri ya mapenzi
tunda la mahaba
marafiki wakongwe
marafiki vijana
mapenzi yamevunjika
pendo linalochipua
mahaba
nawapenda nyote
wivu
pendo lililoshikana
penzi lenye wivu
penzi njia panda
cheko
tabasamu pana
mkonyezo
nakupenda
busu la upendo
busu
mzomeo
cheko mkoleo
cheko
mshangao
huzuni
tabasamu la huzuni
hasira za kipole
cheko mkoleo wa mchozi
kilio
majonzi
kilio cha kelele
mzomeo
hasira kavu
tamaa
kimya
kipofu
miayo
dharau
aibu
vizuri
si vizuri
msuto
ngumi
tano
Amani
kibao
Jambo
kukana
juu
chini
mbele
nyuma
jisalimishe
amen,asante
makofi
msuli
mbio
mimi na wewe
Mungu Wangu
mchungulio
Natumai umeelimika. Elimisha wenzio ili tutukuze Kiswahili katika jamii.
pendo la moyoni
busu zito
pendo changa
busu la pozi
pendo linalostawi
siri ya mapenzi
tunda la mahaba
marafiki wakongwe
marafiki vijana
mapenzi yamevunjika
pendo linalochipua
mahaba
nawapenda nyote
wivu
pendo lililoshikana
penzi lenye wivu
penzi njia panda
cheko
tabasamu pana
mkonyezo
nakupenda
busu la upendo
busu
mzomeo
cheko mkoleo
cheko
mshangao
huzuni
tabasamu la huzuni
hasira za kipole
cheko mkoleo wa mchozi
kilio
majonzi
kilio cha kelele
mzomeo
hasira kavu
tamaa
kimya
kipofu
miayo
dharau
aibu
vizuri
si vizuri
msuto
ngumi
tano
Amani
kibao
Jambo
kukana
juu
chini
mbele
nyuma
jisalimishe
amen,asante
makofi
msuli
mbio
mimi na wewe
Mungu Wangu
mchungulio
Natumai umeelimika. Elimisha wenzio ili tutukuze Kiswahili katika jamii.