ClearingAgent
Member
- Nov 15, 2022
- 29
- 24
Habari zenu wana JF tupo hapa kukumbushana mambo kadhaa kuhusu maswala ya uwagizwaji wa magari.
Unapotaka kuagiza gari ni vema kujua gharama za kodi linapofika bandarini itakufanya ujipime mfuko wako na kujipanga vizuri kwenye swala la kifedha kuepusha kushindwa kulipa gharama za kulitoa gari lako licha ya kushawishika na bei ya uagizwaji wake.
ili kuweza kupata gari lako inakupasa kulipia gharama za aina za aina 5
1. Kodi TRA ( Hii unaweza kuangalia kupitia TRA calculator)
2. Shipping line ( Hii hulipwa kwa wakala wa meli iliotumika kusafirisha gari lako)
3. Wharfage fee
4. Port charges
5. Agent fee
Kwa kuzitambua aina hizi za kodi basi unaweza ukafanya makadirio mazuri ya gharama juu ya aina gani ya gari utakaloweza kumudu kuagiza na kiasi cha kulipia pindi linapofika bandarini kuepusha usumbufu wakati wa kulitoa.