Habari wanajamvi wenzangu katika jukwaa hili la biashara uchumi na ujasiriamali,
Pasipo kupoteza muda naomba nitoe ufaganuzi kidogo kuhusiana na Kodi ZINAZOHUSIKA katika uagiza wa gari Toka nje ya nchi
Kwa kawaida Kodi kuu zinazohusika pindi mtu anapoagiza gari huwa ni tatu
1. Import dutyG
2. VAT
3. Excise duty
IMPORT DUTY
Kulingana na sera za Tanzania kuhusiana na Kodi katika magari yanayoingia nchini, makadirio ya Kodi hutokana na ukubwa wa injini
Kwa mfano gari ambalo injini yake Ina ukubwa wa 2000cc na kuendele import duty ni asilimia 25 wakati VAT asilimia 20 na excise duty ni asilimia 10 kulingana na gharama ya gari uliloagiza. Jumla ya Kodi huweza fikia jumla ya asilimia 60
Kwa gari lenye injini ambayo Iko chini ya 2000cc excise duty ni asilimia 25 wakati VAT asilimia 20 lakini huweza fikia asilimia 50
Kwa magari ya biashara kama vile mabasi malori na pick-up
excise duty ni asilimia 15 wakati VAT asilimia 25
EXCISE DUTY
Kama ukubwa wa injini yake hauzidi 1000cc hakuna Kodi inayotozwa
Kama injini yake Ina kati ya 1000cc Hadi 2000cc Kodi ya excise duty ni asilimia 5
Kama injini yake Ina ukubwa wa 2000 cc na kuendele Kodi ya excise duty ni asilimia 10
Shukran Kwa wote watakao jifunza kutokana na Uzi huu
Wenu
OZB CAR IMPORTERS AGENT 0686153806 Whatsapp
Agent from beforward