Kufuatia ziara ya JPM Rwanda sasa madaktari wa moyo kutoka JKCI watakuwa wakienda Rwanda kufanya matibabu ya moyo wakisaidiana na madaktari wa Rwanda na washirika wao kutoka nchi mbalimbali.
Hongera sana JPM kwa kuwaletea neema madaktari wa Jakaya Kikwete, siku moja tutasikia Jacob Zuma kaja kutibiwa Tanzania, hongera sana.