Zelensky talks about Ukraine CAPITULATION! Says there are too many wounded and dead. He therefore doesn't want war for years

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
17,035
22,712

Zelensky talks about Ukraine CAPITULATION! Says there are too many wounded and dead; doesn't therefore want war for years​

JUNE 28, 2024
Zelensky Talks Ukraine CAPITULATION!  Says too many wounded and dead; doesn't want war for years

Volodymyr Zelensky, former President of Ukraine whose term of Office expired on May 21, went on TV yesterday and made clear Ukraine has too many wounded and dead; they do not want the war with Russia to continue . . . video below.

View: https://x.com/KyivPost/status/1806304876621664329
His English language skills are not the best, but what he says is quite dramatic:
“We don't have too much time because we have a lot of wounded and dead people on the battlefield and among civilians. That's why we don't want to have this war continue for years. We want to prepare this joint plan and put it on the table for the next peace summit.”

Where is the so-called "main-stream media?" Why has not a single TV Network in the United States or Europe reported this?
Incidentally, this has been CONFIRMED by the Kiev Post Newspaper.
 
Attachments

  • Zelensy-Mentions-Peace.mp4
    2.4 MB
Naona watu hawajamwelewa zelensiky,kimsingi jamaa wanaandaa counteroffensive ya katafunua mithili ya Ile ya 2022 iliyoshuhudia urusi akichakazwa na kufurushwa kama mbwamwizi huko Khakivu, kupyansk, izium., Lyman,mycolaiv na maeneo mengine hambapo urusi alifurushwa kama mbwamwizi ndani ya siku chache tu,msije kushangaa pale majeshi ya urusi yatakapochakazwa na kufurushwa na kurudi Moscow kwa spidi ya duma.., ngoja tusubir!
 
Kama kweli kazungumza hivyo na anamaanisha, basi akili imeanza kumrudia.
Kazi ya Trump imeshaanza kuonesha matokeo chanya.

Zelensky haoni tena kama atapata hadari (support) ya Magharibi kama wakati Joe Biden akiwa uongozini.

Inafahamika vizuri kwamba Zelensky na Trump hawali sahani moja tangu kitambo sana akiwa rais.

Hii ndiyo kusema kwamba upepo wa uswahiba katika ya Putin na Trump umeanza kumrejeshea akili timamu Mr Zelensky ili afanye kile ambacho angefanya miaka takriban 3 iliyopita.

As much as they say, a decision even though the right one may never be worth it if done too late, the good news is, better late than never!
 
Naona watu hawajamwelewa zelensiky,kimsingi jamaa wanaandaa counteroffensive ya katafunua mithili ya Ile ya 2022 iliyoshuhudia urusi akichakazwa na kufurushwa kama mbwamwizi huko Khakivu, kupyansk, izium., Lyman,mycolaiv na maeneo mengine hambapo urusi alifurushwa kama mbwamwizi ndani ya siku chache tu,msije kushangaa pale majeshi ya urusi yatakapochakazwa na kufurushwa na kurudi Moscow kwa spidi ya duma.., ngoja tusubir!
Wewe unajulikana vizuri ni kati ya watu wanaoishi Planet Mars. Taarifa zinakufikiaga always zikiwa tayari zimeshavurugika kama chombo cha NASA angani. Wake up!
 
Myahudi hatabiriki,,,,,....anaweza kusema hayo pia ili awapige vibomu sponsors wake , maana anajua wao kushindwa aibu sio yao bali ni ya maboss zao
Funny, huh?

Masponsa zake ndio hasa wameshikilia mabomu, virasibi (coordinates) za wapi pa kulipua pamoja na msimbopetu (passcode).

Kazi kubwa ya Zelensky ni kutangaza tu, tena kile tu wanachotaka kusikia masponsa.

Kwa ufupi, yeye angali akiendeleza kazi yake ileile ya awali ya ustaa kwenye TV.
 
Wewe unajulikana vizuri ni kati ya watu wanaoishi Planet Mars. Taarifa zinakufikiaga always zikiwa zimevurugika kama chombo cha NASA angani. Wake up
Unafikir kilichomfanya asiweke huo mpango mezani Sasa nini?
Subir uone urusi atavyopigwa katafunua!
 
Unafikir kilichomfanya asiweke huo mpango mezani Sasa nini?
Subir uone urusi atavyopigwa katafunua!
Ile counteroffensive iliyoshindwa vibaya sana nayo pia ilisemekana kuna jambo kubwa lingetokea. Mlionywa kwamba mtaaibika mno, lakini wapi, hamkusikia!

Njia pekee ya Marekani kuikabili Urusi ni kwa hao mafahali wawili kuguyuguzana wao wenyewe uso kwa uso hadi apatikane mshindi.

Lakini ukweli ni kwamba katika karne hii ya 21 hakuna mshindi kwao iwapo wakizichapa. Itakuwa ni vita vya kuimaliza dunia.

Mungu aepushie mbali tusifike huko!
 
How can you call him a former president
Wewe ni mpuuzi kweli. Hujaona sababu amietaja pale alipoandika?

Au hujui kusoma eti? Poor soul!
Sasa mkuu nitajie Rais wa Sasa wa Ukraine! Wewe kama uchaguzi haujafanyika unaweza kumuita zelensky ni Rais wa zamani wa Ukraine?
 
Wewe ni mpuuzi kweli. Hujaona sababu amietaja pale alipoandika?

Au hujui kusoma eti? Poor soul!
Shida Yako ujinga umekujaa, hivi wewe kwa akili Yako Unaweza kumadress Zelensky kama Rais wa zamani wa Ukraine kwa sasa? former President of Ukraine whose term of Office expired on May 21.
 
Naona watu hawajamwelewa zelensiky,kimsingi jamaa wanaandaa counteroffensive ya katafunua mithili ya Ile ya 2022 iliyoshuhudia urusi akichakazwa na kufurushwa kama mbwamwizi huko Khakivu, kupyansk, izium., Lyman,mycolaiv na maeneo mengine hambapo urusi alifurushwa kama mbwamwizi ndani ya siku chache tu,msije kushangaa pale majeshi ya urusi yatakapochakazwa na kufurushwa na kurudi Moscow kwa spidi ya duma.., ngoja tusubir!
Utakufa na kuzimu utaenda hakutakuwa na hicho kitu
 
Hatutaki kumaliza vita ni kwamba Apigwe mpaka azimie mshenzi sana.
Safi sana, tuendelee kuwachinja tu!

⚡⚡Russia is recruiting 25,000 to 30,000 new soldiers each month, roughly matching the number of soldiers leaving the battlefield, according to The New York Times.

This tactic of sending waves of troops into heavy combat has sometimes been effective, securing victories for the Russian army in Avdiivka and Bakhmut in eastern Ukraine. However, Ukrainian and Western officials report that this approach was less successful during Russia's spring efforts to seize territory near Kharkiv.
 
Back
Top Bottom