Zari amkimbiza wema instagram kwa followers

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,107
4,808
Kabla zari hajawa na mondi wema alikuwa na followers wengi mara kumi zaidi ya zari. Baada ya zari kuwa na mondi zari na wema walikuwa na follower wakikaribiana huku wema akiongoza. But now kwa mda mrefu wamekuwa wakiwa na followers sawa ila zari amekuwa akimbwaga wema. Sijui kama wema atakuja kumpiku zari tena
 
Wakati wa kampeni 2019 nakuhakikishia wema atamfunika vibaya sana bibi zari
 
Bila shaka ww ni mtoto wa kike.. kama ni wakiume utakuwa kuna hormonie zimeongezeka upande wa KE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…